Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Radha ya vyakula, ule vingi.Jamani hivi mwanaume unakuwa na wanawake zaidi ya watano kwa wakati mmoja kwenye mahusiano ni nini mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?
Na wanawake nao pia wako hivyo hivyo Zaidi ya wanawaume 5.Jamani hivi mwanaume unakuwa na wanawake zaidi ya watano kwa wakati mmoja kwenye mahusiano ni nini mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?
Watu wako bize kushangilia ushindi wa umeya dar.UKAWA FOREVER.Teh teh..Eti research..Ngoja waje kujibu...
Ha haa kwahiyo ndio mnafanya lipizi?Na mnavotupanga mnadhani hatujui? Tunajua sana. Huyu wa vocha huyu wa pesa huyu wa kuuzia sura huyu wa ukweli huyu konda au kuwekewa mafuta huyu bosi na kila mmoja anapewa whuchi kwa wakti wake....jiangalien kwanza kwenye kioo
Sio lipizi ni utaratibu wa kawaida tu wa kimaumbile😀Ha haa kwahiyo ndio mnafanya lipizi?
Teh acheni hizo banaSio lipizi ni utaratibu wa kawaida tu wa kimaumbile😀
Tena hapo yupo wa kulipia salon yupo wa voucher huku anaelipa mitoko achilia mbali anaelipa kodi ya nyumba bila kumsahau anae mfikisha kunako yaani anakwambia huyu ndio roho yangu(kiboko yake)sasa hawalioni hilo?
mama la mama ajifanya hajui Hayo. Mtoto wa kike ana mabwana zaidi ya watano. Wametupanga kama ndoo kwenye foleni ya maji. Hata wao ni majipuTena hapo yupo wa kulipia salon yupo wa voucher huku anaelipa mitoko achilia mbali anaelipa kodi ya nyumba bila kumsahau anae mfikisha kunako yaani anakwambia huyu ndio roho yangu(kiboko yake)sasa hawalioni hilo?
Timing kama kumchinja kobe wasizuge wakiwahiwa ndo mayowe mtaa mzima.mama la mama ajifanya hajui Hayo. Mtoto wa kike ana mabwana zaidi ya watano. Wametupanga kama ndoo kwenye foleni ya maji. Hata wao ni majipu
Ndo walivyo hawa. Halafu hata aibu hawana kuja huku kusema wanaume sisi ni majipu.Timing kama kumchinja kobe wasizuge wakiwahiwa ndo mayowe mtaa mzima.
Kama sisi majipu wenyewe watakuwa dondandugu.Ndo walivyo hawa. Halafu hata aibu hawana kuja huku kusema wanaume sisi ni majipu.