Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Ndo wanajifariji eti.Kama sisi majipu wenyewe watakuwa dondandugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wanajifariji eti.Kama sisi majipu wenyewe watakuwa dondandugu.
Kuna mmoja waqt tumekutana baada ya mzee wangu kugundua anakaa na jitu moja jinga nyumbani kwake(hilo jinga ni mimi)akaamua kunipeleka shule huko ndipo nilikutana na huyo bibie hapo tumeisha pevuka tupo elimu ya upili.Demu akawa hajishughulishuli watu tunapiga msuli watu wakamuuliza vp mbona hivyo?akajibu mimi sihangaiki kuna jitu linanisomea huko akimaanisha kuna kidume kitakuja kumuoa huwezi amini ukimuona leo kachoka watoto watatu kila mmoja na baba yake.Ndo wanajifariji eti.
Hahaha kwisha habari yake. Alikuwa anawaza kuolewa tu kusoma wala. Kuna baadhi ya wanawake wana akili fupi sanaK
Kuna mmoja waqt tumekutana baada ya mzee wangu kugundua anakaa na jitu moja jinga nyumbani kwake(hilo jinga ni mimi)akaamua kunipeleka shule huko ndipo nilikutana na huyo bibie hapo tumeisha pevuka tupo elimu ya upili.Demu akawa hajishughulishuli watu tunapiga msuli watu wakamuuliza vp mbona hivyo?akajibu mimi sihangaiki kuna jitu linanisomea huko akimaanisha kuna kidume kitakuja kumuoa huwezi amini ukimuona leo kachoka watoto watatu kila mmoja na baba yake.
Pamoja sana ndugu yangu.Hahaha kwisha habari yake. Alikuwa anawaza kuolewa tu kusoma wala. Kuna baadhi ya wanawake wana akili fupi sana