Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Ma mchwa sana hayaPole sana
Lakini si umekula hela zake au alikuwa anamega kisela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma mchwa sana hayaPole sana
Lakini si umekula hela zake au alikuwa anamega kisela?
Hahahaha.............Vijana muwe makini, msije kujiroga kumuhaidi binti wa watu ndoa kisa amekushika maeneo fulani.Tatizo wakiliwa mara moja wanataka ndoa
Sema Mungu awasaidie, sio vyema kuapia kwa ajili ya nafsi ya mtu.Huyu wa sasa kuachana ni mwiko, hiyo nafasi hutoipata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una akili sana Kiraka, huu mtegoDisemba hii ukizama PM kisa nyuzi za design hii, unasombwa na maji. Akili kichwani roho mkononi
Siku hizi hata ukimsalimia demu vizuri anadai ndoaHahahaha.............Vijana muwe makini, msije kujiroga kumuhaidi binti wa watu ndoa kisa amekushika maeneo fulani.
When you come to your sense, mwambie babe yule aliyekuhaidi ndoa alikuwa ni pombe sio wewe [emoji12]
Vyema kumwambia mwenzio lengo la kumtaka kimapenzi ni nini ili abakie mwenyewe afanye maamuzi.Siku hizi hata ujimsalimia demu vizuri anadai ndoa
Alikuadhibu kwa kukunyima au?Vyema kumwambia mwenzio lengo la kumtaka kimapenzi ni nini ili abakie mwenyewe afanye maamuzi.
Hakuna kitu Wanawake wanaumia kama kujua umempotezea muda.
Niliwahi kuadhibiwa vibaya sana na binti mmoja mwaka 1973 kwa kusema nilimpotezea muda na sikumuoa.
Wanasema Ukweli humweka mtu huru.
Alitumia mambo ya asili kuniadhibu.Alikuadhibu kwa kukunyima au?
Wanawake si watu nimeamini mwaka huuAlitumia mambo ya asili kuniadhibu.
Uliwahi kusikia Wimbo wa "Mtalimbo umelala dolo"
Sometimes women are evil [emoji17]
Wanawake ni wema sana Mkuu ila ujue namna ya ku-deal nao.Wanawake si watu nimeamini mwaka huu
Ukiwa mkweli kupitiliza kwa hawa viumbe pia kuna shida.Wanawake ni wema sana Mkuu ila ujue namna ya ku-deal nao.
Ndiyo maana nashauri vyema ajue nafasi yake kwenye hayo mahusiano unayomuomba.
Mwambie kwamba hutaki kujenga kibanda, kama ataridhia sawa kuliko kumdanganya ndoa
Tayari, isijekuwa amekutana na mzabzab ale kote koteUmeshaliwa....maana sio kwa mayowe haya.
Wanaume sisi ni watu poa sana sema hawa mademu wakituona wanaona pesa. Lazima aliwe tuTayari, isijekuwa amekutana na mzabzab ale kote kote
Wahenga wanamsemo wao "usimuamshe aliyelala, utalala wewe"Waambie nini cha kufanya ili waachane na wadudu for good Dr Mari[emoji1787][emoji1787]
Wanasema truth will set you freeUkiwa mkweli kupitiliza kwa hawa viumbe pia kuna shida.
Akijua huna mpango wa kuoa utalia kwa kuchunwa, sio wema kabisa.
Ni kweli mimi siwezi kuwa kama huyo tapeli anaechezea mudada musupu kama weweimagine mtu anakwambia mi sio kama wale kumbe ye ndo CEO wa wale aaah meen[emoji1316][emoji1316]