Wanaume ni wadudu

Siku hizi hata ujimsalimia demu vizuri anadai ndoa
Vyema kumwambia mwenzio lengo la kumtaka kimapenzi ni nini ili abakie mwenyewe afanye maamuzi.

Hakuna kitu Wanawake wanaumia kama kujua umempotezea muda.

Niliwahi kuadhibiwa vibaya sana na binti mmoja mwaka 1973 kwa kusema nilimpotezea muda na sikumuoa.

Wanasema Ukweli humweka mtu huru.
 
Alikuadhibu kwa kukunyima au?
 
Wanawake ni wema sana Mkuu ila ujue namna ya ku-deal nao.

Ndiyo maana nashauri vyema ajue nafasi yake kwenye hayo mahusiano unayomuomba.

Mwambie kwamba hutaki kujenga kibanda, kama ataridhia sawa kuliko kumdanganya ndoa
Ukiwa mkweli kupitiliza kwa hawa viumbe pia kuna shida.
Akijua huna mpango wa kuoa utalia kwa kuchunwa, sio wema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…