Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Wanaumue wa hivyo mnawaotoa wapi, tumlaumu mwekezaji au aliekubali uwekezaji
 
Wanaume wenzangu kuanzia leo tuongeze umakini, tusikubali Rungu spray Max zinunuliwe na kuwekwa nyumbani. Mtoa mada hachelewi kutupulizia sisi wadudu tukakufa bure 😜😜

===========
Ladies kabla hamjakubali mahusiano vyema kujua lengo la hayo mahusiano yenyewe ili ku-lower expectations. Hii itasaidia kufurahia mapenzi yenu kuliko kukaa na mtu ukijua kuwa atakuoa soon, kumbe mwenzio aliomba mahusiano nawe kwa lengo la kuburudishana tu.
Mwingine kaahidi kulipa kodi,mwenye nyumba kachachamaa,msela haonekani,ahadi mwenye jengo haelewi,bibie kodi alishaserebukia akijua mjinga atalipia,sasa haelewi afanyeje. Hata ya kuhamisha vitu tu huenda noooooo. So?! So what!!!!
Aligundua kuna sehemu alizama kwenye kina kirefu,akaamua aachie masela
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Baba yako ni mdudu
 
Back
Top Bottom