Turnoff
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 732
- 855
Tobaaaaa! Mimi maisha yangu yote nimewakwepa hao watu sana!
Na sijui nilikuwa na bahati gani nao, haya maisha bwana Wanaroho mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tobaaaaa! Mimi maisha yangu yote nimewakwepa hao watu sana!
Na sijui nilikuwa na bahati gani nao, haya maisha bwana Wanaroho mbaya sana
Nilijua tu...huu mwaka kabla hujaishaAliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
🤣🤣🤣🤣mbwa kuna muda ana adabu
kUmalifahamuuuh dudu washawasha
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Tatizo ndio linaanzia hapo. Sasa hapo tunakuwa bado hatujaelewa kama tunatania au ni vipi. !. Ila ukijaa tumefanya yetu,ndio tunakuja kushtuka kama imooo...! Heeh..! Kumbe nimechokoza mtu yuko serious??sasa si mseme ukweli tangu mwanzo mtu aamue mwenyewe anakubali au anakataa
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Hata wao wenyewe wanashindwa kukubaliana kwenda sawa...![emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani wanaume kuwa kwao wadudu kunaweza kuwafikia wanawake ambao wao ni nyoka...
Mkubwa hivi Unashindwaje kukwepa mitego MWOAJI ANAJULIKANA haya njoo nanujaribu hukunkwangu maisha ninkombolela
Pole sana mkuu naona ulikutana na baharia.Hatuko wote kama unavyotudhania kiasi cha kutuita wadudu.Nakushauri usahau na u move on maisha yaweze kuendelea.
Haiwezekani wanaume wote tukafanana tabia. Tupo hapa mabaharia shababi, ambao tumetulia kama maji ya kwenye mtungi. Ondoa hiyo chuki kwa wanaume. Mwombe Mungu akujalie kumpata mwanaume wa kukufaa.
Afu waki fear men nani atawatoa upwiru? Kubali umetumika move onAliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..