Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Baba ako nae ni mdudu iliuma mama ako ukazaliwa
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Tatizo nanyi hamjui jinsi mnavyokatisha tamaa. Mara nyingi wanaume tunakuwa wavumilivu wakati nyie mnapokuwa hamjielewi, tukishindwa tunaachia. Tukiachia mnaanza kutuita wadudu.
 
Kama alikuumiza kihisia pasina shaka kuna siku alikufurahisha kihisia sasa
kwanini unaongea mazaifu tu ongea na mazuri yao pia
 
Back
Top Bottom