WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu.

(chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.)

Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️

Much respect to us🤛
 
Mi nilishindwa vyote ila si kumpendezesha mume,kitu chako kweli ushindwe hata kununulia shati.

Mume akichakaa unaesemwa ni mwanamke...kitunze chako.

Ubinafsi haufai nguo matoleo yote mapya mwanamke umo, kweli ushindwe hata kufumba macho kwa ajili ya mumeo hata siku moja tu
 
Wanaume wanaohudumia familia zao , wapewe maua Yao kwakweli. Changamoto ni nyingi lakini wanapambana bila kuchoka💪 Hongereni na mzidi kubarikiwa.
 
Mungu awabariki sana na awajalie wake bora watakaokua vitulizo vya nafsi zenu mtokapo kwenye miangaiko.

Nasi wanawake tuwatie moyo na tukiwa na vipesa vyetu tukumbuke kuwanunulia nao vitu vyao vidogo vidogo
 
Mungu awabariki sana na awajalie wake bora watakaokua vitulizo vya nafsi zenu mtokapo kwenye miangaiko.

Nasi wanawake tuwatie moyo na tukiwa na vipesa vyetu tukumbuke kuwanunulia nao vitu vyao vidogo vidogo
2025 hatutaki mtununulie boxer na socks na mkanda.
2025 ebu semeni mume wangu term hii wacha nilipe school fees😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…