[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Asilimia 88 ya Wanawake wanawachukia marafiki za wanaume zao
Asilimia 90 ya wanaume wanapenda wanawake za marafiki zao
WANAUME NI WATU WAZURI SANA DUNIANI
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Halafu mtu anapo niambia eti nimetoka ubavuni sijui kwa nani ili hali mimi najua nilizaliwa na mama yangu na baba yangu mi huwa sipendi ni vile tu hajui
Yote mawili..kubalance eco systemUnadhani simba kumnyatia swala ni upendo au njaa?
nahisi ni njaaUnadhani simba kumnyatia swala ni upendo au njaa?
Halafu mtu anapo niambia eti nimetoka ubavuni sijui kwa nani ili hali mimi najua nilizaliwa na mama yangu na baba yangu mi huwa sipendi ni vile tu hajui