Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Eti kuchepuka ni sawa...Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kama unadhani man wako hachepuki unajidanganya. Take it from me. Tunatofautia kutunza siri tu. Hata mimi naaminiwa sana, ila napiga nje kwa nidhamu kubwaEti kuchepuka ni sawa...
Unahalalisha kabisa...
Wanaume Mungu anawaona...
Wewe umeolewa na shetaniWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Haujaelewa nimesema marafiki, jiran lkn hao ni watu baki kwann mme usimuheshimu tu mkeo ukaenda mbaliWewe Una uhakika hao wanawake hawajilengesha wenyewe?
Why usilaumu hao ndugu zako Kwa kutokuheshimu wewe dada yao??
Ni asili. Mwanaume ndo alivyo, ila inaweza kuwa tamed or controlled. Inategemea pia na mvuto ambao anaona kwa majirani ila yote kwa yote inategemea na mwanaume mwenyewe na nidhamu yake.Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Kama ni mimi naoa beki3 naye alipize.Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
Uzembe wa mwanamke husababisha hayo yoteWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo?
Ni kweli kabisa kiuhalisia hamna watu rahisi kuruka nao kama mashemeji, besties wa mwanamke na hii wanawake huwa wanajiponza wenyewe kwa kupenda sifa za kijinga, sasa wewe unamuhadithia rafiki yako utamu unaopewa na mumeo unategemea nini?Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k
Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....
Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....
Na kupitia huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
Kuchepuka inategemea kakupataje kama kakupata kirahisi anaamini na rafiki zako wana tabia kama zako hivyo lazima akawanyandueWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Unataka kusema mkitongozwa hamjui kukataa?Wewe Una uhakika hao wanawake hawajilengesha wenyewe?
Why usilaumu hao ndugu zako Kwa kutokuheshimu wewe dada yao??
Tulia shemelaKuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k