Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Kwa kweli, maana kuna wengine wanajua kuhadithiana.Ni kweli kabisa kiuhalisia hamna watu rahisi kuruka nao kama mashemeji, besties wa mwanamke na hii wanawake huwa wanajiponza wenyewe kwa kupenda sifa za kijinga, sasa wewe unamuhadithia rafiki yako utamu unaopewa na mumeo unategemea nini?
Shemela kama Shemela ......Tulia shemela
Mashemeji wakuda kudadekiShemela kama Shemela ......
Koh koh koh.........πππ
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Hadi Sisi Wazee ni wakuda?Mashemeji wakuda kudadeki
Mashemeji wote motoni
πππ
Mi mwanamke akinitongoza naona aibu kumkatalia nikiona simpendi namkubali alaf naanza kumpiga chenga, yaan nimkatalie alafu anione siyo mzima?Unataka kusema mkitongozwa hamjui kukataa?
Mbona huku jua kali tunaona Thomas alidatishwa lakini akachomoa mtego? Si mumuige?
Kama ni hivyo mbona dada zako hauwatongozi?Mwanaume hutongoza tu...
Mwanamke ndiye mwenye kusema NDIO au HAPANA...
Je, hapa lawama ziende kwa mtongozaji au mtongozwaji aliyekubali saundi?
hahah kiranga chote komoo!Mambo yakija kujulikana na Urafiki unakomea hapo hapo
Kama ni hivyo mbona dada zako hauwatongozi?
Hatari sanahahah kiranga chote komoo!
Mbona hatujafanya hivyo mama ..!!Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Na nyie wake zetu kabla ya ndoa sukari na mahaba niue tunapewa kama yote. Mkiingia ndoani na kupata mtoto ndio mnaanza sarakasi.Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Wewe Una uhakika hao wanawake hawajilengesha wenyewe?
Why usilaumu hao ndugu zako Kwa kutokuheshimu wewe dada yao??