Wanaume njooni tujibu swali la huyu mrembo!

Wanadhani ni kazi nyepesi Ile.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anapaswa aambiwe afanye kama. Vile wanaume wanavyomhato hata dakika Moja aone shughuli yake, [emoji1787]
 
Asing'ang'ane na binadam, Angel si malaika kmmq mwambieni akanyanduliwe na angel mwenzake
 
Soma jibu la mdau πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ€£πŸ€£
Huyu si ndio alikuwa anajifanya doctor love huyu? Naona sasa akili zimemrudia baada ya kupigwa tukio.
 
Huyu si ndio alikuwa anajifanya doctor love huyu? Naona sasa akili zimemrudia baada ya kupigwa tukio.
Unafanya mchezo na hao viumbe 🀣🀣🀣 tena anachagua wensye neema za Allah 😎
 
Wanawake wengi ambao wako mature enough kwenye game, bao la kwanza mwanamume kuwahi kumwaga hawaoni kuwa tatizo

Tatizo linakuja pale mwanamume ambaye ni kimoja chali. Akishamwaga hawezi tena kuendelea round ya pili na zaidi wanahisi wamedhulumiwa
 
Inaonekana hao unaokutana nao ni wahovyo sana muda wanaotumia kumwaga hata mshumaa unakuwa haujayeyuka jaribu hata kwingne bidada au kazoea wale walokuwa wanatumia mkongo naskia umepgwa marufuku now wanatumia nguvu zao natural πŸ˜€πŸ˜€
 
Nacho jua kumwaga mapema au kuchelewa ni uamuzi wako wewe mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…