Wanaume nyie na "bank tellers"

Ila mwanao akiwa domozege kayataka mwenyewe yaani mama mtu una mbinu hata jamaa wa benki umemshinda!!!
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ shikamoo hahahahaah
 
CRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
hahahaah, ulete mrejesho mkuu Darmian
 
Sasa NAHUJA kama kusimama muda mrefu huku wanazuga wanakamilisha muamala inakukera, wakianza kutoa simu ipitishwe pale pa kuwekea pesa, mdada aandike namba kisha airudishe kwa mteja, si utamrusha mkaka nje ya benki?

Enzi zangu nilikua naacha msimbazi tu. Siku ingine ukienda wanakugombania wakuhudumie hata kama anamteja, anakusemesha bado hata zamu yako haijafika ili uende kwake.
 
CRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Castr ona tena maujanja haya kutoka kwa Samaritan, hahahahahahahahahaahaha
 
CRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
Posta ya zamani chief? kuna kademu kalikuwa crdb post ya zamani dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…