- Thread starter
- #21
😛😛😛😛😛😛😀😀😀😀😀😀 shikamoo hahahahaahIla mwanao akiwa domozege kayataka mwenyewe yaani mama mtu una mbinu hata jamaa wa benki umemshinda!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😛😛😛😛😛😛😀😀😀😀😀😀 shikamoo hahahahaahIla mwanao akiwa domozege kayataka mwenyewe yaani mama mtu una mbinu hata jamaa wa benki umemshinda!!!
Hahaha
hahahahah, mmeamka salama wapendwa wangu?Wanaume mkuje
Una hitaji kupimwa haja ndogo wewe sio bure!!!Uzinzi tu
Utafikiri jiwe
Wasitucheleweshe sienajua wew itakuwa age go,acha watoto mbatembate watongozwee.punguza wivu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]CRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
Na vyenyewe vina "hisia" ila sasa inakera wanavyojisahau muda wa kazi!!!Ivi vihudumu sometimes huwa sivielewagi kabsa,
Ulikuwa na Kenya na wewe?kweli jf imerudi kivingine...
Castr ona tena maujanja haya kutoka kwa Samaritan, hahahahahahahahahaahahaSasa NAHUJA kama kusimama muda mrefu huku wanazuga wanakamilisha muamala inakukera, wakuanza kutoa simu ipitishwe pale pa kuwrkea pesa, mdada aandike namba kisha airudishe kwa mteja, si utamrusha mkaka nje ya benki?
Enzi zangu nilikua naacha msimbazi tu. Siku ingine ukienda wanakugombania wakuhudumie hata kama anamteja, anakusemesha bado hata zamu yako haijafika ili uende kwake.
Posta ya zamani chief? kuna kademu kalikuwa crdb post ya zamani dahCRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
😀😀😀😀 wnaume nyie ni wakware, hahahahahaaahhaPosta ya zamani chief? kuna kademu kalikuwa crdb post ya zamani dah
Uje na mahela