Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ukiwa teller utapata tabu na uniform zenu hizoHakika, kweli kabisa!!!!
Mie sio tellerUkiwa teller utapata tabu na uniform zenu hizo
[emoji23] una bahatiMie sio teller
hahahahahaahhah, hivi eeeeeeeeeeeeeeeeee!!![emoji23] una bahati
Yani ukiwa nae mmoja unaweza anzisha benki yako😉😉😉😉😉
hahhhahaha, ila pesa nayo inaweza kukuletea shida eg. ukimwini hatare..pesa sabuni ya roho
NI KWELI MTANI WANGU USEMAVYO..ILA TUNAJIKINGA VILIVYOhahhhahaha, ila pesa nayo inaweza kukuletea shida eg. ukimwi
Kwenye ATM kuna kiwango ambacho huwezi kukitoa kwa siku moja. Vile vile kuna miamala mingine ambayo lazima uingie kwa tela,kwa mfano malipo ya hundi na mengineyoNa mimi nilikuwa naongelea Tanzania.
Ni swali nimeuliza kwa mapenzi mema.
Mtu anaenda mstarini kumuona bank teller kwa sababu ATM hamna? Au anakimbia ATM fee? Au inakuwaje?
ATM haziruhusu malipo ya hundi?Kwenye ATM kuna kiwango ambacho huwezi kukitoa kwa siku moja. Vile vile kuna miamala mingine ambayo lazima uingie kwa tela,kwa mfano malipo ya hundi na mengineyo
Tanzania sijaona EITIEMU ya kuweka hundi halafu inatema hela kusema kweliATM haziruhusu malipo ya hundi?
Benki za Tanzania zinacheza.
duuuuuu!!!!Hata Bank Teller wa kiume nao huwa wanashobokea kina dada wazuri