Wanaume nyie na "bank tellers"

Wanaume nyie na "bank tellers"

Na mimi nilikuwa naongelea Tanzania.

Ni swali nimeuliza kwa mapenzi mema.

Mtu anaenda mstarini kumuona bank teller kwa sababu ATM hamna? Au anakimbia ATM fee? Au inakuwaje?
Kwenye ATM kuna kiwango ambacho huwezi kukitoa kwa siku moja. Vile vile kuna miamala mingine ambayo lazima uingie kwa tela,kwa mfano malipo ya hundi na mengineyo
 
Kwenye ATM kuna kiwango ambacho huwezi kukitoa kwa siku moja. Vile vile kuna miamala mingine ambayo lazima uingie kwa tela,kwa mfano malipo ya hundi na mengineyo
ATM haziruhusu malipo ya hundi?

Benki za Tanzania zinacheza.
 
Back
Top Bottom