Wanaume nyie na "bank tellers"

CRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
Mi nlitoka Bagamoyo hadi POSTA! Tena nikaingia ndani kuulizia balance
 
Tanzania sijaona EITIEMU ya kuweka hundi halafu inatema hela kusema kweli
Mara nyingi huwa inachukua muda, angalau overnight kuwa cleared.

Labda huwa wanataka kupata fedha kwa haraka ndiyo maana wanakwenda kwa teller.

Lakini Marekani kwa mfano, siku hizi hata ATM huhitaji kwenda. Unapiga picha hundi yako na simu yako. Una upload image kwenye app ya bank, tayari unamaliza kuweka hundi kwenye akaunti yako.
 
Jamani kumbe huko USA ni raha tupu!!!
 
Jamani kumbe huko USA ni raha tupu!!!
USA baby.

Labda the next Charles Kimei ataleta hii Bongo pia muda si mrefu. Teknolojia yote ipo.

Bankers wa Bongo kama mnasoma hii ni changamoto.

Na msisingizie fraud, hata USA kuna fraud ya kufa mtu.

Kangi Lugola kakataza majambazi kutupangia maisha.
 

πŸ˜€
πŸ˜€
πŸ˜€
 
ATM haziruhusu malipo ya hundi?

Benki za Tanzania zinacheza.

Unaongelea ATM kutokuruhusu malipo ya hundi wakati kuna watu ukimlipa kwa hundi anakugomea?
Bado tupo hatua nyingine mheshimiwa, unapojadili jambo kumbuka hadhira yako. hahahahahahaha
 
Unaongelea ATM kutokuruhusu malipo ya hundi wakati kuna watu ukimlipa kwa hundi anakugomea?
Bado tupo hatua nyingine mheshimiwa, unapojadili jambo kumbuka hadhira yako. hahahahahahaha
Personal checks watu wanapigwa sana, hata huku kuna sehemu nyingi zinakataliwa.
 
Personal checks watu wanapigwa sana, hata huku kuna sehemu nyingi zinakataliwa.

Huku nimeona ATA zinazokubali kudeposit hundi tu, lakini haziruhusu kukupatia pesa taslim kwa hundi.
Nafikiri mabenki yangewekeza Zaidi kuhamasisha malipo ya mtandao Zaidi kuliko kutembea na pesa taslim.

Kama umenunua mabati au gari kwa mtu, anakupa bank details, unaingia online unafanya muamala mnamaliza biashara.
Mambo ya kutembea na maburungutu ya noti ndio chanzo cha mauaji kwa ujambazi usio na ulazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…