Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maaaweeeeeeeeeeeee, bojo kaziroooooooIwe bojo!
Kuna katoto kanakutoa roho bila shaka, hahahahahDTB Dodoma branch wacha niishie hapo
Uko sawa lakini si amtafute baada ya saa za kazi!!!Jamani kizuri kula na mwenzio
Sana natamani angekuwa wife materialKuna katoto kanakutoa roho bila shaka, hahahahah
Mi nlitoka Bagamoyo hadi POSTA! Tena nikaingia ndani kuulizia balanceCRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
Mara nyingi huwa inachukua muda, angalau overnight kuwa cleared.Tanzania sijaona EITIEMU ya kuweka hundi halafu inatema hela kusema kweli
Jamani kumbe huko USA ni raha tupu!!!Mara nyingi huwa inachukua muda, angalau overnight kuwa cleared.
Labda huwa wanataka kupata fedha kwa haraka ndiyo maana wanakwenda kwa teller.
Lakini Marekani kwa mfano, siku hizi hata ATM huhitaji kwenda. Unapiga picha hundi yako na simu yako. Una upload image kwenye app ya bank, tayari unamaliza kuweka hundi kwenye akaunti yako.
vipi ushaharibu hapo bila shaka! hahahahahahahahahahCRDB Tabora
😀😀😀😛😛😛Mi nlitoka Bagamoyo hadi POSTA! Tena nikaingia ndani kuulizia balance
USA baby.Jamani kumbe huko USA ni raha tupu!!!
USA baby.
Labda the next Charles Kimei ataleta hii Bongo pia muda si mrefu. Teknolojia yote ipo.
Bankers wa Bongo kama mnasoma hii ni changamoto.
Na msisingizie fraud, hata USA kuna fraud ya kufa mtu.
Kangi Lugola kakataza majambazi kutupangia maisha.
ATM haziruhusu malipo ya hundi?
Benki za Tanzania zinacheza.
Personal checks watu wanapigwa sana, hata huku kuna sehemu nyingi zinakataliwa.Unaongelea ATM kutokuruhusu malipo ya hundi wakati kuna watu ukimlipa kwa hundi anakugomea?
Bado tupo hatua nyingine mheshimiwa, unapojadili jambo kumbuka hadhira yako. hahahahahahaha
Personal checks watu wanapigwa sana, hata huku kuna sehemu nyingi zinakataliwa.