Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Kama kuna ukweli Vile,hii ni hoja
 
Kwahiyo yatima wote wana tabia zinazofanana
 
Ukioa mwanamke ambaye mama yake ana mkontroo mume wake (yaani baba mkwe wako anachukua maelekezo kutoka kwa mkwe wako wa kike)
Hapo huna ndoa.
Hata ukinywa bia mbili castle lite za baridi lazima habari ifike ukweni, nyumba yako itaendeshwa kwa rimoti. Utapangiwa masharti kutoka ukweni. Hapo ujue mama mkwe atakua anajua unapiga vingapi, atamtafutia binti yake michepuko, atampeleka mkeo kwa waganga uisahau familia yako. Wageni watakua wanatoka upande wa ke tu, wa upande wako wakija watafanyiwa vitimbwi mpaka watie akili.
 
Mi ninachokiona mwanamke awe amelelewa na baba na mama au awe yatima asiwe nao kabisa hawa kizazi cha single mother kimezalisha kundi kubwa sana la Malaya na wasiofaa kuwa wake maana mama anadanga mtoto anadanga tena mama anamtafutia mabwana mwanae kabisa mwanae na ameshamwambia wanaume wote ni mbwa tu mwanaume akikunyanyasa ondoka kawe hata muhudumu wa baa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka mpaka basiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…