Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Hatimae mayatima wamefikiwa walisubili sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi

Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali mbaya ya ndoa yangu, akanishauri achana na huyo mwanamke tafuta mwanamke ambaye ni yatima, ambaye maisha yake ya uyatima aliyaishi akiwa kati ya miaka 0 na 23, oa huyo utakuja kunishukuru sana.

Ni kweli kabisa nimetoa shukrani kwa mjomba kwa ushauri aliyonipa ni miaka 2 imepita sasa na hajawahi kuleta mgogoro na mjomba alioa yatima anaishi kwa amani sana na mimi nakushauri tafuta yatima oa, ndoa yako itakuwa salama sana.

Na wanawake wa hivi wananidhamu, upendo, huruma, na wanyenyekevu ila ukimuudhi ni rahisi kububujikwa na machozi na nzuri zaidi mme wake ndiyo humfanya kama baba yake mzazi ambaye alimuacha akiwa mdogo.

Mithali 31:10-31 SRUV​

Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake. Mke mwema anatoka kwa Mungu omba kwa Mungu ili akupe mke mwema ndugu yangu
 
Sio kila yatima anakua hivyo Mimi sitaki kusimulia, kwanza unazungumzia yatima yupi anaeishi na Mama yake au aliefiwa na wazazi wote Mama na Baba?

Maana yatima au binti anaeishi na Mama yake alafu Baba kafari au wanakwambia tu Baba hajulikani jaribu kufuatilia tabia za Mama usije ukaoa bomu la dakika,
Huyu bwege hata yatima ni nini hajui. Shule ulisomea ujinga?
 
90% ya wanawake huwa viburi wanapokua na plan B kwenye maisha. Ndio maana wenye akili huoa wasio na elimu, kazi, pesa, wanaotokea maisha magumu nk ili waweze kuishi nao vyema. Kwahio leo tunaongeza na yatima kwenye list. Angalizo tusiwanyanyase ni dhmbi tuishi nao kwa amani maana wanawake wanye sifa hizo huwa wanyenyekevu sana

Naomba mpigie lamination hii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mweeeh!!!
 
Tusitafute pesa, tusioe bikra sasa kuna ingizo jipya tuoe yatima.
 
Basi nyie wenye mabinti mfanye kufa mapema ili hao mabinti zenu wawe wake wema kwa waume zao
 
Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi

Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali mbaya ya ndoa yangu, akanishauri achana na huyo mwanamke tafuta mwanamke ambaye ni yatima, ambaye maisha yake ya uyatima aliyaishi akiwa kati ya miaka 0 na 23, oa huyo utakuja kunishukuru sana.

Ni kweli kabisa nimetoa shukrani kwa mjomba kwa ushauri aliyonipa ni miaka 2 imepita sasa na hajawahi kuleta mgogoro na mjomba alioa yatima anaishi kwa amani sana na mimi nakushauri tafuta yatima oa, ndoa yako itakuwa salama sana.

Na wanawake wa hivi wananidhamu, upendo, huruma, na wanyenyekevu ila ukimuudhi ni rahisi kububujikwa na machozi na nzuri zaidi mme wake ndiyo humfanya kama baba yake mzazi ambaye alimuacha akiwa mdogo.
Kwa hiyo unataka kusema wanaume kwa sasa tupumzike kidogo kutafuta hela ili tu kuwaridhisha hawa viumbe wenzetuwa upande wa pili! Na badala yake tuwekeze nguvu kubwa sasa kwenye kutafuta wale wanawake ambao ni yatima, au tufanye vyote kwa pamoja?
 
Sio kila yatima anakua hivyo Mimi sitaki kusimulia, kwanza unazungumzia yatima yupi anaeishi na Mama yake au aliefiwa na wazazi wote Mama na Baba?

Maana yatima au binti anaeishi na Mama yake alafu Baba kafari au wanakwambia tu Baba hajulikani jaribu kufuatilia tabia za Mama usije ukaoa bomu la dakika,

Bro! Yatima ni mtoto aliyefiwa na wazazi wake wote wawili!! Analelewa na walezi
 
Kwa hiyo unataka kusema wanaume kwa sasa tupumzike kidogo kutafuta hela ili tu kuwaridhisha hawa viumbe wenzetuwa upande wa pili! Na badala yake tuwekeze nguvu kubwa sasa kwenye kutafuta wale wanawake ambao ni yatima, au tufanye vyote kwa pamoja?
Both team to score
 
Back
Top Bottom