Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Next step mtaambiwa oeni HAMAS
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Next step mtaambiwa oeni HAMAS
Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi
Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali mbaya ya ndoa yangu, akanishauri achana na huyo mwanamke tafuta mwanamke ambaye ni yatima, ambaye maisha yake ya uyatima aliyaishi akiwa kati ya miaka 0 na 23, oa huyo utakuja kunishukuru sana.
Ni kweli kabisa nimetoa shukrani kwa mjomba kwa ushauri aliyonipa ni miaka 2 imepita sasa na hajawahi kuleta mgogoro na mjomba alioa yatima anaishi kwa amani sana na mimi nakushauri tafuta yatima oa, ndoa yako itakuwa salama sana.
Na wanawake wa hivi wananidhamu, upendo, huruma, na wanyenyekevu ila ukimuudhi ni rahisi kububujikwa na machozi na nzuri zaidi mme wake ndiyo humfanya kama baba yake mzazi ambaye alimuacha akiwa mdogo.
Huyu bwege hata yatima ni nini hajui. Shule ulisomea ujinga?Sio kila yatima anakua hivyo Mimi sitaki kusimulia, kwanza unazungumzia yatima yupi anaeishi na Mama yake au aliefiwa na wazazi wote Mama na Baba?
Maana yatima au binti anaeishi na Mama yake alafu Baba kafari au wanakwambia tu Baba hajulikani jaribu kufuatilia tabia za Mama usije ukaoa bomu la dakika,
90% ya wanawake huwa viburi wanapokua na plan B kwenye maisha. Ndio maana wenye akili huoa wasio na elimu, kazi, pesa, wanaotokea maisha magumu nk ili waweze kuishi nao vyema. Kwahio leo tunaongeza na yatima kwenye list. Angalizo tusiwanyanyase ni dhmbi tuishi nao kwa amani maana wanawake wanye sifa hizo huwa wanyenyekevu sana
Asante sana mkuu! 🙏🏻Safi sana, unaitendea taaluma yako haki kabisa 👊
Mayatima tunataka yatima wenzetu
Hakuna fomula. Kama ulipata usidhani kwamba mayatima wote ni watulivu
Kwa hiyo unataka kusema wanaume kwa sasa tupumzike kidogo kutafuta hela ili tu kuwaridhisha hawa viumbe wenzetuwa upande wa pili! Na badala yake tuwekeze nguvu kubwa sasa kwenye kutafuta wale wanawake ambao ni yatima, au tufanye vyote kwa pamoja?Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi
Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali mbaya ya ndoa yangu, akanishauri achana na huyo mwanamke tafuta mwanamke ambaye ni yatima, ambaye maisha yake ya uyatima aliyaishi akiwa kati ya miaka 0 na 23, oa huyo utakuja kunishukuru sana.
Ni kweli kabisa nimetoa shukrani kwa mjomba kwa ushauri aliyonipa ni miaka 2 imepita sasa na hajawahi kuleta mgogoro na mjomba alioa yatima anaishi kwa amani sana na mimi nakushauri tafuta yatima oa, ndoa yako itakuwa salama sana.
Na wanawake wa hivi wananidhamu, upendo, huruma, na wanyenyekevu ila ukimuudhi ni rahisi kububujikwa na machozi na nzuri zaidi mme wake ndiyo humfanya kama baba yake mzazi ambaye alimuacha akiwa mdogo.
Sio kila yatima anakua hivyo Mimi sitaki kusimulia, kwanza unazungumzia yatima yupi anaeishi na Mama yake au aliefiwa na wazazi wote Mama na Baba?
Maana yatima au binti anaeishi na Mama yake alafu Baba kafari au wanakwambia tu Baba hajulikani jaribu kufuatilia tabia za Mama usije ukaoa bomu la dakika,
Both team to ScoreMara mwenye bikira, mara yatima , mara mwenye matako makubwa kichwani ni sifuri, which is which? Kuishi maisha mazuri ya ndoa ni bahati.
Both team to scoreKwa hiyo unataka kusema wanaume kwa sasa tupumzike kidogo kutafuta hela ili tu kuwaridhisha hawa viumbe wenzetuwa upande wa pili! Na badala yake tuwekeze nguvu kubwa sasa kwenye kutafuta wale wanawake ambao ni yatima, au tufanye vyote kwa pamoja?
😂🤣😂Mama mkwe + wifi = utajamba cheche