Wanaume oeni yatima, hamtojutia



 
Hii ni case moja tu, haiamaniishi, mabinti wenye wazazi wote, wana kuwa wake wabaya, na mabinti wasio na wazazi, wana kuwa wake wazuri!,
Kuwa mke mbaya, au mzuri, ni zaidi ya kuwa na, wazazi mmoja, au wawili, ubaya wa mtu ni tabia yake tu, mazingira aliyozaliwa, kukulia, malezi,aliyopata, elimu, nk
 
Mnahangaika sana. Mara usioe mwanamke maskini atakuua abebe mali, usioe mwanamke tajiri atakunyanyasa, usioe mwanamke asielelewa na baba na mama atakua na tabia mbaya, usioe mwanamke mwenye wazazi wote wawili atakua na kiburi.

Kazi ipo na mnakoelekea ni kuoa migomba maana wanadamu wamewashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…