Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Hao wakujilliza sana mkuu hawachelewi kulia kidogo Mama kidogo Baba ungekuepooo, Ila kwa kiasi fulani upo sahihi nilijua wale wanaolelewa na Mama mmoja yaan single mother Baba hajulikani alipo,
Ww hujui maana ya yatima ni ambae hana wazazi wote wawili na umri wake ni chini ya miaka 18

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna fomula. Kama ulipata usidhani kwamba mayatima wote ni watulivu
Kweli asee. Haya mambo hayana formula unaweza sema rafiki yangu kaoa mke kutoka familia flani na mke ametulia wanaishi maisha mazuri na wewe ukajipa mawazo ngoja nikaoe mdogo wake wa mke wa rafiki yangu ukitegemea atakuwa kama dada yake kumbe ni hakuna 😁

Haya mambo hayana formula
Nilikuja kuamini haya baada ya Bill gate kuachwa na mke wake.. fikiria bilionea anaochwa na mke wake 😁 wewe raia mwenye ndoto ya uchumi wa buluu utafanyajwe? 😁
 
Ndio kwani nimepinga? Kwa wazazi si unaanza mzazi au?
Kuna hii nyingine tena kuhusu 'kiate' na yatima.
 
Back
Top Bottom