Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Jeshi lihusike Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani kakwambia harufu ya kibeberu ni stahamilivu!? mnatupa tabu bhana kunuka sio sifa, na hao wanawake wanaonuka kisamaki maradhi mnawapa nyie msiofua boxer zenu wala mashuka, usmart uendane na usafi
 
Thank you King Kong,
Hakika mabro mnapaswa kuwapa elimu wadogo zenu, sio mnawapa tu mbinu za kuchakata muwape na kupenda usafi wao wa mwili, kuna raha yake unapishana na mtu anasmell vizuri ni rahisi hata kugeuza shingo na kutabasamu
 
Usitupangie maisha yetu. Wewe deal na makwapa ya mume wako, inatosha. Mwanaume usiponuka kwapa unakuwa huna tofauti yoyote ile na mwanamke.
Sio kweli, mwanaume hajaumbiwa anuke, upende mwili wako, wamatumbi hua wanasema self care, self love, sijajua maana yake lakini najua inaendana na usafi
 
Omg! ukimaliza kuongea nae ilikua lazima umeze dawa za maumivu na vitamins, pole sana dear umepitia mazito
 
Mnataka muuwe watu? Kuna watu tunaogopa maji
Dah nimekumbuka kisa cha kondakta mmoja alikua hapendi kuoga, wenzie wakamkamata kwa nguvu na kummwagia maji yenye sabuni nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…