Wanaume punguzeni chips mayai

Umejuaje tuanzie hapa kwanza! Nilisha Anza his jf Kuna ma mtoromtori wanasuka nyuzi
 
Wachina wana penda sana vyakula vya wanga na seafood.
 
Hivi mnajua kuwa ugali hasa dona unasababisha upungufu wa nguvu za uzazi?
 
Malalamiko ni mengi toka kwa wanawake kuwa mtu akiingia anapampu sekunde 5 amemaliza: Wanaume msisubiri mpaka tume iundwe.
 
Na umekuja na conclusion hii baada ya kufanya research yako kwa muda gani vile?
 
Strong and Fearless unajua kula chipsi sio kuwa na nguvu za kiume ni kwamba mtu tu hana nguvu za kiume basi mbona kuna jamaa anakula na anaishi na anapiga game fresh tu katika maisha kila mtu nitofauti
 
kwani wanaume tumeumbwa ili tuwe na perfomance kitandani au perfomance duniani?
 
Ngono itakusaidia Nini tofauti na Kupata watoto

Binafsi lazima nipatapo Pesa ugali siwezi kula
 
Malalamiko ni mengi toka kwa wanawake kuwa mtu akiingia anapampu sekunde 5 amemaliza: Wanaume msisubiri mpaka tume iundwe.
Wana makasiliko ya power failure,ndio maana wanakuja na majibu rahisi " utafiti mwitu"
Utafiti huu hapa
Alipita na watano moja ilifeli mwanzo wa safari,mbili zilianza mwendo zikiwa legelege zikazimikia njiani hazikumaliza mwendo,moja ilianza kwa ushupavu ndani ya dk moja ikafika mwisho wa safari,moja ilipakwa mkongo haikusita kubomoa mageti yote Hadi kumfikisha Kilimanjaro.
Utafiti ndio huo hapo toeni conclusion.🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…