Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

kale kaharufu ka uvundo ndio utamu wenyewe ule acha ushamba monicca
 
It depends, hao wa boyfriend wenu wapita njia ndo wa kuja kuwatangaza JF.

Wewe mwanamke, una mtu wako, umeona hali ni tofauti. Badala ya kukaa ukaweka sawa unakimbilia JF kutoa ujumbe ambao chances are, he might never see.

Mtoto wa kike kaa tulia, muite mwenzio faragha mchezee chezee muweke mambo sawa. Sio umuite umrukie uanze kumpara na kiwembe. No. Cheza cheza naaeee halafu rekebisha.

Nywele sana ndo huwa zinasababisha harufu. Zi yoe, muogeshe na shower gel flani amazing ama soak him in a bath tub and do the needful.

Sasa si umroweke kama ovaroli ama jeans. Ingia na wewe humo taratibu relax muogeshe, etc etc.

Kama ni boxers na chupi what harm will it do mkifua wote? Ama ukimfulia? Achageni tuenjoy ndoa zetu manake tunajua kuzilea. Na nyie andikeni tu mitandaoni udhaifu wa wenza wenu.
 
Asante mama kama bado hawajaelewa watakuja kuelewa siku wakiachika umuhimu wa kulea ndoa
 
Kuna wengine mademu wanapenda mavu.......mbi!!
 
Mwambie huyo hawara yako akanyoe mavuzi na kwapa.Husitudhalilishe wengine tunajiheshimu.
 
Dah..Dada asmaa80 umefikisha ujumbe. Make kuna post watu wanaweza jua wewe ni mtu wa aina gani...Nampa pole kwa sample anazokutana nazo..ila mda bado upo anaweza badili gear Angani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…