Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hizi mada ni pana sana, sbb zinatawala mambo ya hisia.Hivi kwanza leo wanaume niambieni NI KWANINI WANAUME WENGI HUWA MNANUKA KIMBUZI MBUZIII? YAANI UKIPISHANA NA WANAUME WATATU BARABARANI BASI MMOJA AU WAWILI ANANUKA KIBEBERU BEBERU,JE HIYO HUTOKANA NA NINI?
Kifupi wewe waweza sema mtu huyu ananuka, halafu mwingine kwa harufu hiyohiyo akasikia kunukia. Hapo tunajadilije?
Tukija upande wenu kei, ndousiseme kabisaa. Mtu mzuri kaumbika haswa, kajaliwa na michura makubwa, hebu mjaladue. Utakayokutana nayo huko, afadhali ya kuvunja tray zima la mayai viza ya kienyeji.
Unabakia kujiuliza, hivi huyu mdada anajitambua? Hajisikii mwenyewe kunuka?
Halafu kuvamia mtu kumueleza kero uloipata kwake inayohusu uchafu wake, ni mtihani.
Ikiwa ni mimi ikanitokea hali hiyo,kifupi sifanyi, maana nitapoteza "mood" yaani kabisa hata nijifarague kulumangia ugali kwa picha ya samaki, haitawezekana. Hapo ndiyo inakuwa ni mwisho wa baby na darling bila kujali nimepoteza nini na kiasi gani kufukuzia, regardless hata kama nimetoa mahari, potelea kwa mbali.