Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
Inaonekana we ni fundi wa kukutana na izo boxer,
 
ha ha ha ha ha ha we kiboko, HUJAMPENDA NDO MANA UNASEMA HIVYO, Hivi ukiambiwa mwanaume ni kama mtoto unadhani kivipi? Unavyomfulia, na kumpikia je?? si ni jibaba zima si afanye mwenyewe, vipi unavyompigia pasi na muda mwengine kumchagulia chakuvaa?? Na kwa taarifa yako hiyo kazi ya kunyoa si yako hata yeye anapaswa kufanya hivyo..HASA HUYO WAKO MCHAFU NDO MNAJIWEKEA KAMA KILA WEEEK AU KILA WEEK 2 KUTEGEMEA NA UKUAJI WA HUO UCHAFU 😀😀😀😀
Nakubaliana na anaetaka kutangaza nia hapa
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
mmmh mwambie huyo uliyekutana naye ndiye mchafu hyo. nguo mzuri nje ndani boxer wiki haijafuliwa
 
ingekuwa vizuri ungewambia hao ulio do nao kwa mawasiliano yao binafsi
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.

daa pole sana dada we kila boy wako mchafu pole sana
 
unyoaji wa nywele mara kwa mara husababisha uotaji wa mvi mapema... mtoto wa kiume sio wa kike jamani, cha muhimu ni kuoga vizuri na kujipiga unyunyu safi, mambo ya kujipiga upara kwenye uchi na kwapani hapana. em wachekini wacheza basket ball akinyanyua mikono unywele huo mweusi msafi unanukia. nyie watoto wa kike ndo maana mnawahi sana kuota mvi kwenye uchi na makwapani kuliko kichwani.
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
Kila shetan analo shetan lake hao wanaume unaowapata ndio wanaendana na level zako Dada huwez kung'ang'ania matozy huku mwenyewe unapenda mapenzi ya mapolini!
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
Kwa nini usiwaambie ukiwa nao kitandani?
 
Ni wao zuri umefikisha ujumbe kwa waume wa JF!!
ila sijui bwana wako umemwambia ama Unaenjoy harufu inayotoka makwapani na maeneo ya dushe na kuja kutuambia type ya wanaume unawapataga.
 
kuna wengine smart ila wananuka .. nawapa pole sana..
"usiulize nimejuaje"
Aisee ni kweli,
Kuna braza meni mmoja ukimuona very smart msomi good life
Lakini ukikaa nae karibu aisee utakimbia ananukaa uvundo na harufu mbaya balaaa
Hata sielewi ni nini sijui ugonjwa au...
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
Hukufunzwa wewe; tatizo hili unalipata kutokana na kuokota okota wanaume barabarani. Mbona waarabu na wapemba wana ndevu na manyoya marefu hawatoi harufu? Mtoto una lugha chafu sana wewe kwanza huna adabu kabisa kutukana wanaume wote humu
Haha haha umenichekesha sana mkuu nadhani alikosa malezi ya pande mbili
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
Usafi au uchafu ni mtu mwenyewe! Wanaume tunachukulia poa ni kama siri tu! We habari za wanawake wenzio huzijui tuulize sisi wazee wa show tym hatari tunazokabili kuwausu
 
Back
Top Bottom