Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Weka picha za maeneo yako kwanza, isije kuwa we mwenyewe mchafu!Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.
Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.
Uhandsome ni pamoja na usafi.