Binadamu tumeumbwa na ustaarabu, unachokiona ukiwa faragha na mtu unakiacha huko huko au unashauri au kujiongeza huko huko (unashauri kistaarabu mfano Kuna mtu ananuka mdomo, sio kwamba anajua la, hiyo ni blind side yake, chakufanya mnunulie mouth wash, mpe dawa nzuri za meno, kama bado anaendelea mpeleke kwa wataalamu wa kinywa wampe ushauri )
Tatizo la kizazi hiki kwenye mahusiano tunawaza kugegedana tu, mahusiano ni zaidi ya hiyo, relationship simply means where I am weak, you are strong.
Rejecting ur weakness means I am Rejecting ur strength
Sasa wewe mkaka /mdada kama una tafuta malaika kwenye mahusiano wakati mwenyewe hauko hata semi-malaika, pole sana