Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Pole kwa kupata bwana mchafu.Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.
Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.
Uhandsome ni pamoja na usafi.