Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Inaelekea hajui chochote ktk mapenzi zaidi ya kugegedwa tu kwake ndo keshamaliza, mwanamke wa hivi ndo wanasemaga wanaume hawana nguvu za kiume, kumbe yeye ndo hajielewi, nguvu za mwanaume kiasi kikubwa ni hisia tu"

Daaaah niliwahi kuambiwa maneno uliyoniambia.
Cheers
 
Tengua kauli yako, waambie hao wanaume unaoendaga nao ndo wanyoe.
 
Mpaka hapo wewe tushakujua kuwa ni wa aina gani na level gani.
 
Huyu dada naona levo zake ni wale wanywa viloba wa tandale kwa mtogole ndo anaokutana nao, ushauri jaribu kuwa msafi ili uwavutie wasafi maana ndege wafananao ndo ambao huruka pamoja
 
Uko sawa bibie. kuna wengine jasho Lao lina shida hata akioga. vp kuhusu maduu ambao nao wanatembea na msitu wa mwabepande.
 
Uwe unaziba poa wakati wa kulamba koni ya huyo mumeo unae muaibisha kila kukicha.
Jana ulimchana kwamba ni kicheche, malaya, anakibamia, hana kazi, unamfuga.
Leo umekua na hafui nguo ya ndani, mikwapa na dushe kunuka kwa kukithiri kwa msiti.
Pole sana aiseee....
Hata hivyo una moyo
 
Baadhi ya wanaume bhanaaa! usiturundike wote kwenye kapu moja.

Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
 
Back
Top Bottom