Hili ni suala la makubaliano yao wawili vyovyote wakiamua ni sawa ilimradi wamekubaliana.Are roles reversing or are men just adapting? Siku hizi unapata mwanaume ako nyumba, anasema “I’m planning,” while mwanamke ndio anachapa kazi, analipa rent, na bado anapika.
Swali ni — hii ni empowerment ya wanawake ama wanaume wameamua kulegea? Wengine wanasema economy imebadilika, opportunities kwa wanawake zimeongezeka. Lakini ukweli mchungu ni kwamba baadhi ya wanaume wamegeuza “support” kuwa full time lifestyle.
Wakati mabinti wanajituma kujijenga, kuna wanaume wanangoja “breakthrough” miaka tano bila action. Hii si partnership tena, ni dependency.
Lakini pia, let’s be honest wanawake wengine wanapenda kuwa “providers” mpaka wanajipata wamechoka na kubeba kila kitu. So who is enabling who?
Je, tunashuhudia evolution ya roles ama collapse ya responsibility? Debate iko kwako.
Sio kweliKwa hivyo vipato vyao vya kubangaiza vizivyozidi laki tano ndio nawe utasema ukae nyumbani ulipiwe Bills?
Wanawake wenye vipato vinavyoanzia milioni moja Tanzania hii hawafiki hata 500k
Wengi ni wabangaizaji (below tsh 350k ni zaidi ya 80% ya wanawake wapo below hicho kipato.
So kwa hapa Tanzania mada yako bado Sana.
Mimi kipato changu kidogo sana kuhudumia mtu mwenye makendre😫
Robert Heriel Mtibeli aka Mr Bob ana pinga sana , anasema et hamfiki ka salari ka milioni etMimi kipato chqngu kidogo sana kuhudumia mtu mwenye makendre😫
Watu na research zao tusiwapinge! Kwakweli mwenyewe sina hiyo pesa! Kwahiyo inawezekana ni ukweli!Robert Heriel Mtibeli aka Mr Bob ana pinga sana , anasema et hamfiki ka salari ka milioni et
Kwa hiyo hamtaki kutuhudumiaWatu na research zao tusiwapinge! Kwakweli mwenyewe sina hiyo pesa! Kwahiyo inawezekana ni ukweli!
Mishahara chini ya laki 3 tuwahudumie vipi sasa?Kwa hamtaki kutuhudumiaView attachment 3571439
100k yangu una baki na 200 nzimaMishahara chini ya laki 3 tuwahudumie vipi sasa?
Hizo bangi sijavuta bado labda uondoe hiyo zero moja100k yangu una baki na 200 nzima
Wapo, tena wakavu! Ukienda kazini,unakuta kasugua sifuria liko kama kioo! Nyumba safi kitanda kimetandikwa☺️Nao watafika mbinguni wamechoka ila wanaume wa kizaz hiki baadh ni wapumbavu sana unaanzaje kukaa uhudumiwe na mwanamke
Robert Heriel Mtibeli aka Mr Bob ana pinga sana , anasema et hamfiki ka salari ka milioni et
No one can pay ur dues
Most women in Tanzania ni dependent .
Nafikiri umezungumzia huko ulaya not Tanzania .