Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] usijali shogaangu mi na weye tena
Whozhaaaaaaaa[emoji2960][emoji3526][emoji7][emoji8][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mambo hayo jamani [emoji7][emoji7][emoji7]
Shoga usinisahau weekend
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats true brother..
Worse enough, you may find a lady yupo provided with almost everything nd yet flirt with other guys.

[emoji144][emoji144] Maybe they are aware of what they actually NEED and not what they really WANT

Yeah that's true man, but it often happens when you don't live up to her sexual expectations.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awww nimesmile hadi nimeblush,, Alililililii Saint anne come this way please..

Asante sana kaka,, nimefurahi pia kuona nawe umebadilika Mungu akubariki mno..

Siku hizi nimeacha kuwa 'mbeijing' sirudii tena,, cc Jael.. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Hakika weekend hii naona kama inakawia hivi,, ila nitakukumbusha.. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wote kwa pamoja tuseme Ameeen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sentensi angeandika lizarazu kipindi kile cha ligi mngemshambulia kuwa hana adabu kwa wanawake..
You damn right my bro.
9720715_image_jpeg9f360c5ab7736510df54c882e9dbf188.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli fanya hivyo.
Mwanaume kuishi dar pekeyake pasi na kufahamu mikoani Ni Kama Anakosa kitu.

Sasa Lizarazu muda wote huo uliwaacha??
Ilitakiwa uingie nao kazini walime angalau hekari moja ya jaruba.,au hata kuwaleta Dom hapa..wazungushe kidogo na hili jua kidogo wangepunguza uzembenyanya[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kulipa hapo utawaua, yaani wale kulima huwa wanakuskia tu.. kwanza hata mmea wa karanga tu hawajawahi kuuona, wao hata kufyeka tu majani kwenye miji yao wanatafutaga vibarua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom