mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Habari ya asubuhi wanajamii
Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo.
Leo Tanzania kitendo cha ulawiti, usagaji, ufiraji vimekua vitu vya kawaida sanaaaa. Unaweza kuwa unashangaa watu wanawezaje kumbe na wao wanakushangaa wewe usiyefanya ni wa Karna gani. Yaani vinavyofanyika mtaani leo hii sodoma na gomora inasubiri. Mungu aliapa hatashusha tena gharika ila ipo hatari vizazi vyetu kufutiliwa mbali na kusahaulika kabisaaa.
Wanaume baba zetu, kaka zetu na watoto wetu na pepo la ulawiti kwa watoto.
Kumekua na wimbi kubwa sana la vijana na watoto wanaofanya mapenzi katika umri mdogo sana. Na kuachilia mbali mapenzi kufanyika katika umri mdogo kumekua na vijana wengi na watoto wanaolawitiwa, na kufirwa na kusagwa katika umri mdogo kabisa.
Wanaume baba zetu, kaka zetu na watoto wetu na tamaa ya kuwafanya wanawake kinyume cha maumbile.
Wanawake pia wamejikuta kwenye dhahama ya kuingizwa kwenye mapenzi ya kinyume cha maumbile bila ridhaa yao ila kwa hofu ya kuwapoteza wapenzi wao ambao ni wanaume. Wanaume hawa ndio wanaowashawishi kwa kigezo kwamba watatulia njia kuu na kuachana na michepuko.
Wanaume baba zetu, kaka zetu na watoto wetu na tamaa ya kuwafanya wanaume wenzenu mashoga, imefikia hatua hata hamtamani wanawake tena. Tena kwenye hili wapo wanaofanya na kufanywa. Hatarii
Wapo wanaume wamevuka mipaka hawajaishia tuu kuwatumia wake zao kinyume cha maumbile; wanatumia hadi wanaume wenzao na wakati mwingine hata wao wenyewe wanatumika. Yaani unamkuta mtu ni mume na baba mwenye watoto, na ni bingwa wa kufanya vitendo vya ufiraji na yeye na yeye mwenyewe ni mpenzi wa kufanyika. Ni ngumu sana kumeza hii
Nimetanguliza ombi kwa wanaume sababu naijua nafasi ya baba mbele za mwenyezi Mungu na mbele ya jamii zetu. Mwanaume akiamua kusimama kwenye haya mambo kwa kuacha kuyafanya, kuweka makatazo na kuyafuatilia; basi wanawake na watoto tutanusurika.
Naijua na kuiamini nguvu na uwezo wa mwanaume aliopewa na Mungu na uwezo wake wa asili. Najua kwa kila mwanamke, kijana na mtoto kuna mwanaume anayeweza kumuongoza kuishi katika njia njia sahihi, kama sio baba basi ni mume, kama sio kaka basi ni mjomba au babubaby au shekhe, padre, mchungaji. Na naaminiamini wanaume wakiamua kubadilika na kuachana na uzinzi, ulawiti, ufiraji na kuamua kushika bendera ya maadili kwenye familia na jambii; basi hata wasagaji watapungua.
Nimepata kumsikia dada mmoja aliyeachana na mume wake akiongea kwa hasira na uchungu akisema "..... yaani wanaume walivyo wasumbufu heri kuwa na partner wako wa kusagana nae tuu" huyu anayeongea haya ni mama mwenye watoto wa kike na wa kiume. Hivi akishaingia huko anakoamini kuna uheri anaweza kweli kukemea watoto kuhusu hizi mambo?
Kuna jirani yangu mumewe kanogewa kwa mchepuko, sijui anachopata huko ila anaamini huku nyumbani kuna usalama sababu mkewe hatoki! Laiti angejua Ile kazi mkewe na housegirl wanaifanya angejutaaaa. Yaani wanasagana kama wehu mchana na usiku
Wanasema ipo tiba ya kuwaondoa wahanga wa ufiraji, ushoga na usagaji kwenye huo uraibu lakini kabla hatujafika huko hebu wanaume tukae chini tuulizane. Hivi utajiskiaje kama yule mtoto wako wa kiume uliyemzaa, ukamtunza na kumsomesha vizuri kushuhudia anavyoinamishwa na wanaume wenzie tena hata wa umri wako?
Utajiskiaje Yule binti yako unayempenda na kumpa malezi mema kabisa hata kumuozesha anarudi nyumbani na kukuambia baba Yule mume uliyeniozesha anataka kunifanya kinyume cha maumbile?
Au arudi na kukuambia amegundua kwamba yule mwanaume uliyemuozesha ni rijali sawa lakini na yeye pia anafanywa na wanaume wenzie?
Haya mambo ukikutana nayo ni magumu, kama mzazi unaweza kujikuta unaumia tuu kwaajili ya uzao wako. Sababu unaweza kupambana kumlea mtoto vizuri lakini huko duniani ndio kumeshachafuka. Hata ukishinda kwa kuhakikisha mtoto wako hadi shoga au msagaji basi anaweza kuishindwa ndoa maana atakayekutana nae anaweza akawa na uraibu wa hatari.
Cc Jasmoni Tegga BigTall Carlos The Jackal Extrovert Maghayo Mamndenyi Patra31
Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu.

1 WAKORINTO 6:9-11
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; WAASHERATI hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala WAZINZI, wala WAFIRAJI, wala WALAWITI, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala WATUKANAJI, wala wanyang’anyi.
Upvote
20