Wanaume sio ATM!!!

Wanaume sio ATM!!!

Nataka nifanye mwenyewe!!!Nifanyiwe yote hayo ya nini wakati viungo vyote vya kufanya kazi nimepewa???:twitch:

Unamshusha mwanaume hadhi sasa yaani wewe uanze kuagiza bia alafu ununue mwenyewe na kinga kisha ulipie na room kisha unipe na pesa ya tax hilo hapana i see
 
This is what I am talking....mwanaume hajiskii kukamilika kwamba yeye ni mwanaume asipohuhudumia....! So dada Lizzy..wewe unawatetea bure hawa jamaa....wanajiskia raha sana kuitwa ATM.....

Yeah matatizo madogo na makubwa nayamaliza
 
LIZZY
Kwa maelezo yako huyo shoga alikuwa ni wewe. Sasa wewe umeshagundua kuwa kaka yuko serious anataka mahusiano ya kudumu na si ya kunyosha tuu viungo; kwa kulitambua hilo wewe umechukuliaje hiyo fursa; tayari mnafahamiana wewe tu ushindwe

Ingekua mimi sidhani kama ningeona ni tatizo kwasababu tayari nasapoti kwa kuwepo pale!!!:twitch:
 
This is what I am talking....mwanaume hajiskii kukamilika kwamba yeye ni mwanaume asipohuhudumia....! So dada Lizzy..wewe unawatetea bure hawa jamaa....wanajiskia raha sana kuitwa ATM.....

Mhhh sijui kwa kweli!!!Itabidi nijifunze!!!!:coffee:
 
Unamshusha mwanaume hadhi sasa yaani wewe uanze kuagiza bia alafu ununue mwenyewe na kinga kisha ulipie na room kisha unipe na pesa ya tax hilo hapana i see

Sio nikulipie wewe....najilipia mimi!!!!Nimezoea kujitegemea kwa hiyo swala la kua tegemezi inabidi nijifunze upya!!!
 
Ndiye anamaliza matatizo yote makubwa kwa madogo kwa kutumia ATM kwa nn sasa usimwite ATM?

Yaani mimi hapo wala sina shida kabisa......naelewa hiyo iko kwenye damu yenu. Ila msisahau na sisi ni wasaidizi....so usione aibu kuomba msaada pale mambo yanapokuwa mengi......bado ubaba na ukichwa utabaki palepale tu!
 
Sio nikulipie wewe....najilipia mimi!!!!Nimezoea kujitegemea kwa hiyo swala la kua tegemezi inabidi nijifunze upya!!!

Sawa si unalipia mwenyewe na Guest house mm kulala tu si ndo maanake
 
Yaani mimi hapo wala sina shida kabisa......naelewa hiyo iko kwenye damu yenu. Ila msisahau na sisi ni wasaidizi....so usione aibu kuomba msaada pale mambo yanapokuwa mengi......bado ubaba na ukichwa utabaki palepale tu!

Yeah hili mbona lipo wazi ndo maana hata kwenye apointment ukifika kabla yangu si unaagiza maji ya 300/= kwa ajili ya kuvutia kasi nikiwasili mm unabadili kinywaji unaanza kukata maji yenye rangi ya mamende
 
Sawa si unalipia mwenyewe na Guest house mm kulala tu si ndo maanake

Kwani kuna ubaya??Si tunalala wote??:twitch:Au basi lipia tukikutana ila mambo yangu mengine yanabaki kua yangu!!!!:coffee:
 
Hahahaha naogopa mpwa Masa anaweza nimeza hapa nabakia bubu sasa
 
Hahahahha...we bwana!!Nimesema hivyo kufikisha point yangu!!Usije tu ukanisingizia nimekutongoza bureee!!!:twitch:
 
Nimeogopa kwendelea maana nimechumbia na huyu mchumba'angu ana wivu balaa
 
**^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**:cheer2:
Chuda Raha
:welcome:
 
Jamani, hivi bado wapo wanawake ambao siyo ombaomba siku hizi??! Kama wapo basi ni wachache sana, tbh.
 
Back
Top Bottom