Nataka nifanye mwenyewe!!!Nifanyiwe yote hayo ya nini wakati viungo vyote vya kufanya kazi nimepewa???:twitch:
Kwani nani kichwa cha familia?
This is what I am talking....mwanaume hajiskii kukamilika kwamba yeye ni mwanaume asipohuhudumia....! So dada Lizzy..wewe unawatetea bure hawa jamaa....wanajiskia raha sana kuitwa ATM.....
Ni baba.......!
LIZZY
Kwa maelezo yako huyo shoga alikuwa ni wewe. Sasa wewe umeshagundua kuwa kaka yuko serious anataka mahusiano ya kudumu na si ya kunyosha tuu viungo; kwa kulitambua hilo wewe umechukuliaje hiyo fursa; tayari mnafahamiana wewe tu ushindwe
This is what I am talking....mwanaume hajiskii kukamilika kwamba yeye ni mwanaume asipohuhudumia....! So dada Lizzy..wewe unawatetea bure hawa jamaa....wanajiskia raha sana kuitwa ATM.....
Unamshusha mwanaume hadhi sasa yaani wewe uanze kuagiza bia alafu ununue mwenyewe na kinga kisha ulipie na room kisha unipe na pesa ya tax hilo hapana i see
Ndiye anamaliza matatizo yote makubwa kwa madogo kwa kutumia ATM kwa nn sasa usimwite ATM?
Sio nikulipie wewe....najilipia mimi!!!!Nimezoea kujitegemea kwa hiyo swala la kua tegemezi inabidi nijifunze upya!!!
Ingekua mimi sidhani kama ningeona ni tatizo kwasababu tayari nasapoti kwa kuwepo pale!!!:twitch:
Yaani mimi hapo wala sina shida kabisa......naelewa hiyo iko kwenye damu yenu. Ila msisahau na sisi ni wasaidizi....so usione aibu kuomba msaada pale mambo yanapokuwa mengi......bado ubaba na ukichwa utabaki palepale tu!
Kwani kuna ubaya??Si tunalala wote??:twitch:Au basi lipia tukikutana ila mambo yangu mengine yanabaki kua yangu!!!!:coffee:
Hahahahha...we bwana!!Nimesema hivyo kufikisha point yangu!!Usije tu ukanisingizia nimekutongoza bureee!!!:twitch: