In short, mwanaume sharti uhonge, empty words are invaluable. It doesn't have to be in money form but lazima utoe offer za mlo au gift kwa wingi, hilo in a way unampa hisia mwenzio kama si bahili and feel secured financially or kinda spoil your girl.
Kwahiyo sahauni kuchange jadi toka enzi za adam.
Kwasasa naelekea Gongo la Mboto kikazi siunajua nafanya RED CROSS,nikirudi tu nakuja kupeleka Pauline alipo......:laugh::laugh:
dah! Uporoto.
Dah! Sawa tu.
Umeusikia wimbo ule wa 'ubaya ulianza mwenyeweee....' ?
Nimesubiri weee hadi nasinzia,sawa bana sitakumbushia tena pamoja na hesabu zangu kuonyesha kuna wawili wamebahatika leo lol!mi naujua ule wa ubaya ulipwa kwa wema eeeeh....
Nimesubiri weee hadi nasinzia,sawa bana sitakumbushia tena pamoja na hesabu zangu kuonyesha kuna wawili wamebahatika leo lol!
Duh! we wa wapi mtu wangu ? hatukatai vinywaji au chakula tunakataa kugeuzwa ATM.Kwanza mpaka nimpe mwanamke hela kwanza yeye hana wazazi...eti nilipie hiki na hiki kwenu huna baba na mama.....khaa wanawake wengine huwa nawashangaa sana kwa mambo kama haya......
duh! full mitongozano.....bye
usiogope bwana.
jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.
ha ha ha ha!
Ungejua nimekujibu huku nimekaza sauti halafu nimetunisha misuli.
Ungekuwepo karibu ungenitimulia vumbi.
Pole Lizzy dearest,kamata hii :A S-rose:Ahh mi leo nimechoka sana dearest!!!:A S 20:
usiogope bwana.
jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.
ha ha ha ha!
Ungejua nimekujibu huku nimekaza sauti halafu nimetunisha misuli.
Ungekuwepo karibu ungenitimulia vumbi.
usinge weka hilo neno bwana!
Ahh mi leo nimechoka sana dearest!!!:A S 20:
Pole Lizzy dearest,kamata hii :A S-rose:
Babu na wajukuu huyo....... unajua kuna kaukweli fulani hivi..wanaume ni bread earners for the family...na asipohudumia anajisikia kama kitu kimepungua hivi kwake. Na ndo maana wanaume wengi hawaoi wanawake wenye kipato kikubwa kuliko wao, why? ili yeye ndo aonekane muhudumiaji wa familia! Si kweli babu Asprin??
Hii mtindo wa kuwaita wanaume ATM unawaboa sana kusema ukweli...hata mimi kama mdada siufagilii.Achili mbali huwaita hata kuwatumia kama ATM nayo inatufanya wadada tunadharauliwa wakati mwingine.