Wanaume sio ATM!!!

Wanaume sio ATM!!!

ukimpenda kwa dhati huwezi mwita ATM utathamini mchango wake kwako, kama wale wengine wenye kuwapanga wa kila aina ndio hivyo kila mtu ataitwa hayo manick names ila sio fresh kabisa, haipendezi
 
In short, mwanaume sharti uhonge, empty words are invaluable. It doesn't have to be in money form but lazima utoe offer za mlo au gift kwa wingi, hilo in a way unampa hisia mwenzio kama si bahili and feel secured financially or kinda spoil your girl.

Kwahiyo sahauni kuchange jadi toka enzi za adam.
 
With all that ....they deserve to be appreciated badala ya kuitwa majina ya ajabu ajabu!!!!
 
Nimesubiri weee hadi nasinzia,sawa bana sitakumbushia tena pamoja na hesabu zangu kuonyesha kuna wawili wamebahatika leo lol!

kesho nitakupa kama tano hivi. I promise.
Sahivi rahisi kina max wametuwezesha.
Sawa uporoto wangu?
 
Kwanza mpaka nimpe mwanamke hela kwanza yeye hana wazazi...eti nilipie hiki na hiki kwenu huna baba na mama.....khaa wanawake wengine huwa nawashangaa sana kwa mambo kama haya......
 
Kwanza mpaka nimpe mwanamke hela kwanza yeye hana wazazi...eti nilipie hiki na hiki kwenu huna baba na mama.....khaa wanawake wengine huwa nawashangaa sana kwa mambo kama haya......
Duh! we wa wapi mtu wangu ? hatukatai vinywaji au chakula tunakataa kugeuzwa ATM.

Lizzy nakuona hapo nataraji u mzima mimi baada ya kukuona hata kichwa kimepona.
 
usiogope bwana.

jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.
 
jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.

ha ha ha ha!
Ungejua nimekujibu huku nimekaza sauti halafu nimetunisha misuli.
Ungekuwepo karibu ungenitimulia vumbi.
 
Duh! we wa wapi mtu wangu ? hatukatai vinywaji au chakula tunakataa kugeuzwa ATM.

Lizzy nakuona hapo nataraji u mzima mimi baada ya kukuona hata kichwa kimepona.

Ahh mi leo nimechoka sana dearest!!!:A S 20:
 
usiogope bwana.

jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.

ha ha ha ha!
Ungejua nimekujibu huku nimekaza sauti halafu nimetunisha misuli.
Ungekuwepo karibu ungenitimulia vumbi.

usinge weka hilo neno bwana!

Ahh mi leo nimechoka sana dearest!!!:A S 20:

Pole Lizzy dearest,kamata hii :A S-rose:

mnaombwa kurudi kwenye mada haraka kabla sheria mpya za JF hazijawasulubu. mstumie urafiki mkafikiri ndio siwezi kuwapiga ban. napinga ufisadi hata kwa lafiki zangu.
 
Babu na wajukuu huyo....... unajua kuna kaukweli fulani hivi..wanaume ni bread earners for the family...na asipohudumia anajisikia kama kitu kimepungua hivi kwake. Na ndo maana wanaume wengi hawaoi wanawake wenye kipato kikubwa kuliko wao, why? ili yeye ndo aonekane muhudumiaji wa familia! Si kweli babu Asprin??

Umenena vema Keren sijui Hapuch.....damn majina mengine magumu sana,

Ukioa mwanamke aliyekuzidi vifuatavyo hiyo ndoa ujue ni mshike mshike:
1. Elimu
2. Kipato
3. Umri
4. Ubabe

Ombi....Keren naomba uwe mmoja wa wajukuu zangu.

Natanguliza hii hapa kwanza, kwa msisitizo.

The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Hii mtindo wa kuwaita wanaume ATM unawaboa sana kusema ukweli...hata mimi kama mdada siufagilii.Achili mbali huwaita hata kuwatumia kama ATM nayo inatufanya wadada tunadharauliwa wakati mwingine.

LOVE is FRAGILE!
 
Back
Top Bottom