...NI kukosa kujiamini tu. wasichana wengi huwa wanapenda wavulana/wanaume kutegemea na recommendations za rafiki zao hawapendi kutokana nahisia zao. Nakumbuka fiance wangu wakati tunaanza urafiki alipenda sana kunikutanisha na rafiki zake "eti rafiki zangu wananiuliza kila siku lini watakuona"??..Any way yeye anadai alishaamua kukolea ingawa najua alitaka kupata views za shoga zake!!:wink2:Lakini hapa sometimes kwa dada zetu ni Security na labda anataka shoga yake na yeye atoe recommendation kuhusu huyo kaka au?
...NI kukosa kujiamini tu. wasichana wengi huwa wanapenda wavulana/wanaume kutegemea na recommendations za rafiki zao hawapendi kutokana nahisia zao. Nakumbuka fiance wangu wakati tunaanza urafiki alipenda sana kunikutanisha na rafiki zake "eti rafiki zangu wananiuliza kila siku lini watakuona"??..Any way yeye anadai alishaamua kukolea ingawa najua alitaka kupata views za shoga zake!!:wink2:
Kimey siku hizi kuna ATM za kuweka na kutoa kama zile za CRDB sasa mimi ATM yangu inaweka tu haitoi....
Keren unakuwa na ATM yenyewe kazi yake ni ku-deposit tu wakati wa ku-withdraw kadi inagoma kabisa tena inakwambia ERROR CODEHahahah...hiii safi sana!!!!
Umenena vema Keren sijui Hapuch.....damn majina mengine magumu sana,
Ukioa mwanamke aliyekuzidi vifuatavyo hiyo ndoa ujue ni mshike mshike:
1. Elimu
2. Kipato
3. Umri
4. Ubabe
Ombi....Keren naomba uwe mmoja wa wajukuu zangu.
Natanguliza hii hapa kwanza, kwa msisitizo.
The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:
Babu Aspirin... unajua siwezi kukataa kuwa mjukuu wako maana unajua yako maneno matamu uliyofundisshwa na babu yako...na kwenye hayo maneno matamu..haikosekani hekima kwa babu.... pata kahawa kwanza babu hapa.....:coffee:
babu....wajukuu idadi yao imefika ngapi?
Hahahah...hiii safi sana!!!!
Keren hebu nakuomba chemba kidogo.......
mhh....babu mbona mimi naogopa...kwani nimefanyaje tena??? au kahawa niliyokuandalia imepoa???
Keren unakuwa na ATM yenyewe kazi yake ni ku-deposit tu wakati wa ku-withdraw kadi inagoma kabisa tena inakwambia ERROR CODE
Usiwe mwoga, nataka n'kutume ukan'nulie ugoro. Hivi yampasa mjukuu kumwogopa babuye?
Hiyo safi TF...., ila unaweza ukapata ushauri kwa babu Asprin hapa..maana yeye anaijua siri ya ATM ya kutoa!
Ohhh!! sawa babu....sio unajua bado mgeni, nilifikri nimekosea! basi usijaili...niko njiani naja mieee...! lakini babu..hivi kiafya ugoro ni mzuri kweli???
Karen habari yako binafsi.....
Ni nzuri kabisa Kaizer..habari ya kwako? Je, na wewe wafurahia kuwa ATM kama babu yangu Asprin???
Kwenu nyie wajukuu hampaswi kuutumia, kama ambavyo hampaswi kutumia mikongojo.....sisi wazee ndio zetu!:rain:
Keren hebu naomba unitamkie hili jina la baba yako kwa sauti.......Happuch
Babu akikohoa ni asprin kwa wajukuu....hampati maumivu hasa ya viungo.Sawa babu,...ila usivute saana, unaweza ukasababisha kukohoa ukaleta taabu kwa wajukuuu sie...
Jamani, ni kwasabu meno yameanza kwisha nini mdomoni??!!! Inatamkwa hivi ...HAP..ook! Ila hilo sio jina la baba yangu, ni jina langu, yaani mimi naitwa Keren_Happuch! Baba yangu anaitwa JOB.
Babu akikohoa ni asprin kwa wajukuu....hampati maumivu hasa ya viungo.
Orayt hebu nitamkie kwa kiswahili hili jina lako............Happuch