Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Yaani Keren UNAFIKIRI au una uhakika?
Babu anamhudumia bibi yenu mmoja tu! na kudumisha mila na wajane kama inavyotupasa....hapa wajane ni wale wasiokua na wenza wao wa kuwapeleka kileleni.
Hapo ndo 'unapokosea' Karen.....LOL
Ni kweli, its our natural duty I would say...but nowadays it is being abused.....
Hehehe...Mila ziheshimiwe kama ndoa siyo?
Nina uhakika babu...ulimi uliteleza tu! Ila hapo penye nyekundu naogopa kucomment....nitamuuliza bibi anifanunulie vizuri!
Oh dearest...usiwe na wasiwasi!Ningekukumbatia sema nna ndoo ya maji kichwani!Mi ni wako...Fynest ni mchizi wangu wa ukweli tu!Hivi TF mbona hutaki nitoke ? nimechoka kuwa undagraundi Lizzy muone kama polisi wa Arusha vile,sawa ?
Comments kama hizi zitanipa vidonda vya tumbo dearest,jali afya yangu.
Dearest comments kama hizi zinatanipa vidonda vya tumbo.Hehehe pouwa mchumc wa muda!Mzima?
Lizzy naomba umkatalie hadharani kwa faida yangu na watazamaji wa thread hii lol!Lizzy nataka wikiendi hii niwe ATM yako ila kwenye kuweka tu sio kutoa ya kwangu imeruhusiwa kuweka tu.
Mshkaji wangu wa muda sana..kunitaka is not an option!Bidada kweli ni kazi kwa watu ambao wapo siriaz na maisha..hilo hata mimi najua!!
Hahaha...bibi atakuambia: Najua jamaa linamisibihevu lakini linamisibihevu kwa adabu manake sijawahi hata kulihisi....LOLZ!
Tanga kunani inatisha mkuu!ukizama uko utoki tena!jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.
Labda wewe unachukulia hivyo lakini TF tumesota nae sana humu namfahamu ni mtu wa ku-take advantage of a situation be careful dearest.Dearest Fynest namchunga tu...can't let him wonder off now that my sister is not around!
Trust me dearest!No one can take advantage of me!Subiri muda wake wa maongezi karibu unaisha!LolzLabda wewe unachukulia hivyo lakini TF tumesota nae sana humu namfahamu ni mtu wa ku-take advantage of a situation be careful dearest.
Mkuu naona unaniua tu:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Labda wewe unachukulia hivyo lakini TF tumesota nae sana humu namfahamu ni mtu wa ku-take advantage of a situation be careful dearest.
Lizzy uporoto01 si ni kaka yako lolz!!!Trust me dearest!No one can take advantage of me!Subiri muda wake wa maongezi karibu unaisha!Lolz
:hug::hug: Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana haina maana..............Dearest Fynest namchunga tu...can't let him wonder off now that my sister is not around!
:laugh::laugh::laugh::laugh:Dearest comments kama hizi zinatanipa vidonda vya tumbo.
Lizzy naomba umkatalie hadharani kwa faida yangu na watazamaji wa thread hii lol!
:laugh::laugh::laugh::laugh:
Single yako producer kasema haina nyama inabidi ukaishibishe kwanza lolz!!!!Hivi TF mbona hutaki nitoke ? nimechoka kuwa undagraundi Lizzy muone kama polisi wa Arusha vile,sawa ?
Inabidi unywe kuanzia 2-3 miaka ya nyuma nilimualika demu mmoja mdogo wa umbo bar akaagiza safari kichwani nikasema ookaay,alipoagiza ya kumi na bado hajalewa nikasema nanunua vocha hapa nje nikatokomea lol!
Alright!!!!Tuongee kidogo my brother......!!!