mi wala simind kuitwa ATM.....kwa sababu ATM za bongo muda mwingi zinakuwa hazifanyi kazi....unaenda kutoa hela unarudi na receipt bila hela.....mi ndio ATM ya namna hiyo......kwa hiyo endeleeni kuniita ATM
Vipi nije na marafiki zangu wawili jmosi ee
iasee clearing habari yako bana!!Vipi nije na marafiki zangu wawili jmosi ee
Mi leo ni Siasa tu mpaka wanielewe hao CRAPs na Mabomu yaoMi huko hata naogopa kwenda!Ishu inasikitisha alafu inanipa hasira sana!
We acha watu wanahama na mgodoro muda huu..Mpwa wangu Sinkala amekoswa koswa mwenyewe nilitoka baluu dah bia za Vingunguti hizi dah
Nipo swafi mamito ila inauma sana.....hawezi kutuua na mabomu yao wakati sie hatuandamani na tupo nyumbani tunakula kibua nafamilia....we ngoja tu!Dearest uko hai lol nilisahau kumbe hauko kule yalipolipuka mwe! MZIMA LAKINI
iasee clearing habari yako bana!!
Karibu mishikaki!!
Homu boyi pole sana ndo maana kila nikikupigia cm inasema mteja unaye mpigia anakimbia mabomu tafadhali subiri afike sehemu salama atakupigia!Aisee Kimey,
Homeboy wako nimekoswakoswa mbona hunitafutii sababau?
Aisee Kimey,
Homeboy wako nimekoswakoswa mbona hunitafutii sababau?
Ndo shida ya mpwa wetu hiyo...sijui tumsaidiaje?Mpwa naona unalia wivu hapo😛opcorn:
Homu boyi pole sana ndo maana kila nikikupigia cm inasema mteja unaye mpigia anakimbia mabomu tafadhali subiri afike sehemu salama atakupigia!
Asee inauma sana, yaani mabomu yanatufuata nyumbani tukila kibua na familia? hatujaandamana mabomu, tukiandamana mabomu...
Serikali=mabomu=???
Pole mpwa siku hizi unanywea mwisho wa rami?
Mi limenikosa kosa kichwani isingekuwa kucheza scout tungekuwa tunaongea mengine
Mpwa naona unalia wivu hapo😛opcorn:
Aisee hommie jana umeniacha hoi sana we ni noma kwa taarifa kamili ya habari nitakupigia simu baadae:laugh::laugh::laugh:Ndo shida ya mpwa wetu hiyo...sijui tumsaidiaje?
Ndo shida ya mpwa wetu hiyo...sijui tumsaidiaje?
sasa homu boyi we utanakubali kuitwa ATM? tuachie sisi tuliozoea bana!! tuna majina mengi sana..Hivi umenionea Love the Nurse?Angalia hapo juu amesema atakuja Tip top na wenzake 2 nimemwambia aje nao 5 sasa Kimey simwelewi mzee wa Usalule mambo ya ATM
Hao watano kila mmoja anakula mnyama kilo moja jumla inakuwa kilo tano, halafu wanakunywa castle light si unajua ambavyo hazileweshi wanaweza kunywa hata kumi na tano kila mmoja kwa jumla ni castle light 45, halafu wawili wanakaa airport teksi hadi kule elfu 20 hao wengine watatu wanakaa Tegeta teksi hadi huko elfu 30 sijui jumla hapo bili inakuja shilingi ngapi mpwaAngalia hapo juu amesema atakuja Tip top na wenzake 2 nimemwambia aje nao 5 sasa Kimey simwelewi mzee wa Usalule mambo ya ATM
hahahaha its for a long jump mpwaAisee hommie jana umeniacha hoi sana we ni noma kwa taarifa kamili ya habari nitakupigia simu baadae:laugh::laugh::laugh: