Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
huwa nafanya hivyo.Kama wewe si mpenzi wa hizo hadithi kwa nini usimteme toka siku hiyo?
Sipendi mijitu yenye mashauzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa nafanya hivyo.Kama wewe si mpenzi wa hizo hadithi kwa nini usimteme toka siku hiyo?
Ah hao wa kujitakia acha wachunwe mpaka ngozi!Alafu mtu kama huyo siku akikimbiwa baada ya kuishiwa anaanza kulalamika!Ni kweli ila wanaume wengine wao wenyewe ndio wanajiwekea mazingira ya kuchunwa chunwa. We mmekutana siku ya kwanza anakuelezea assets zake zote majivuno ndio usiseme.
Aaaaargg sijui wanafikiri ndio watapata wapenzi kirahisi!
Wengine huwa hatuwezi kuomba omba ila mwanaume wa hivyo akikutana na mwanamke mcharuko atachunwa hadi basi.
Haha ningekua mwanaume ningewanyanyasa kweli wa aina hiyo!Eti unaniachaje?Si nilivyokukuta!!Mmh hao wakaka ni hawa waliobatizwa jina la sharobaro ehh?Lizz sijui unakoishi ww huku napoishi mimi hata wadada wanaitwa ATM hata wakaka wanaomba vocha yaani hii ni kotekote wala sio kwa wadada tu. kuna wakaka wamepinda hasa. Utakuta eti mtu anatoka na mwanaume ile wanaondoka anaulizwa " unaniachaje sasa" heeee yaani dunia imegeuka up side down.Mara card imemezwa lol hatar
Haha ningekua mwanaume ningewanyanyasa kweli wa aina hiyo!Eti unaniachaje?Si nilivyokukuta!!Mmh hao wakaka ni hawa waliobatizwa jina la sharobaro ehh?
hata wadada wanaitwa ATM hata wakaka wanaomba vocha yaani hii ni kotekote wala sio kwa wadada tu. kuna wakaka wamepinda hasa. Utakuta eti mtu anatoka na mwanaume ile wanaondoka anaulizwa " unaniachaje sasa" heeee yaani dunia imegeuka up side down.Mara card imemezwa lol hatar
Yaan nashindwa kabisa kuelewa yaani mtu katoka ofisini na wewe ofisini ila anakukomalia utadhani nini. eti vipi sasa unaondoka unaniachaje, yaani ni balaa. anachukua simu anaangalia balance then nihamishie basi, yaani kuna visharobaro vya kumwaga. mie nishajiuzuru stak kabisa.
gaga hiyo ni kweli kabisa.
Nina rafiki yangu wa kike amemuhudumia mpenzi wake hadi amechoka.
Yaani wakitoka outing lady ndio analipa gharama zote.
Wote vipato vyao vidogo lakini mwanaume amekuwa kama mzigo.
Siku hiyo wameenda lodge, huyo shemeji akamuuliza rafiki yangu unakula nini, rafiki yangu akamwambia mi sijisikii kula we agiza tu cha kwako. Yule mwanaume akamwambia rafiki yangu "naomba hela".
Yaani apewe hela ya msosi.
Just imagine!!
Duh!Huyo nae ni noma!
gaga hiyo ni kweli kabisa.
Nina rafiki yangu wa kike amemuhudumia mpenzi wake hadi amechoka.
Yaani wakitoka outing lady ndio analipa gharama zote.
Wote vipato vyao vidogo lakini mwanaume amekuwa kama mzigo.
Siku hiyo wameenda lodge, huyo shemeji akamuuliza rafiki yangu unakula nini, rafiki yangu akamwambia mi sijisikii kula we agiza tu cha kwako. Yule mwanaume akamwambia rafiki yangu "naomba hela".
Yaani apewe hela ya msosi.
Just imagine!!
Afadhali alimuacha!Huyo anaonekana alikua anamhitaji mwenzake kwa matumizi zaidi ya kimapenzi/mahusiano yao!noma sana lizzy. Washabreak up. Kama kuna wanaume wenye tabia hii humu ndani waache kwakweli.
Wajue kabisa wapenzi wao hawafurahii.
Umeongea point LAKINI SIKUPI THANKS lol! Tumekaa baa siku moja meza ya pili kakaa jamaa na wanawake wawili stori za huyo jamaa kiboko mara 'nina milioni 500 benki','sisimami foleni meneja ananiletea nyumbani nikitaka hela','saa yangu ni Omega ya milioni kumi', Mwisho akaja na 'nina hela hadi naumwa' hahaha! ikabidi tuhame meza.Ni kweli ila wanaume wengine wao wenyewe ndio wanajiwekea mazingira ya kuchunwa chunwa. We mmekutana siku ya kwanza anakuelezea assets zake zote majivuno ndio usiseme.
Aaaaargg sijui wanafikiri ndio watapata wapenzi kirahisi!
Wengine huwa hatuwezi kuomba omba ila mwanaume wa hivyo akikutana na mwanamke mcharuko atachunwa hadi basi.
Umeongea point LAKINI SIKUPI THANKS lol! Tumekaa baa siku moja meza ya pili kakaa jamaa na wanawake wawili stori za huyo jamaa kiboko mara 'nina milioni 500 benki','sisimami foleni meneja ananiletea nyumbani nikitaka hela','saa yangu ni Omega ya milioni kumi', Mwisho akaja na 'nina hela hadi naumwa' hahaha! ikabidi tuhame meza.
Saa zingine mnawalaumu wanawake bure sasa kama huyu si anataka kuchunwa ?
Tangu nikufahamu mali zangu ni zako nasubiri unitumie jina kamili nibadili jina za mali kuwa zako.Nikiweka hapa wakina Michelle,Hus and co watasumbua lol!Wewe vipi dearest mbona hunipi list ya mali na mapesa yako?
Nimefarijika kurudisha picha hii kwenye avatar naizimia sio kipolepole,the hair,face,wide shoulders and yes the hand just love it,Nipewe nini tena jamani mie...!My passport is on the way dearest!