FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #61
FirstLady,Sasa nikupe ushauri wa bure, kutomea nje ya ndoa kumekuwepo tangu zama hizo. Usikonde wala kuomba talaka kaka akitomea nje, kwani anafanya nini?? ila asikuonyeshe na wala usijue na wewe usimfuatilie maana ukichunguza kuku hautamula. (Tunaogopa ngoma kwa sasa kila mtu amemetulia na wake basiiiiii!)
Tangu nilipoamua kuanza serious relationship iliyonipelekea kwenye ndoa hadi leo hii sijawahi kuwa introduced namna hiyo coz its so obvious there is no entry. Hata before marriage sikuwahi kuchukua mume wa mtu so it was difficult kujikuta kwenye situation ya aina hii i thank God.
ni wanawake wenyewe tunaotaka haya, we unajua mtu ana mkewe bado unatoka naye kwa maana ya mahusiano deep hadi unaishia kutambulishwa hivyo, i don like it a bit.
FL1, nahisi uliyosema ni kweli..ila mi ninachojiuliza pia ni kwamba hii ni trend ambayo inaongezeka...I mean haka kautaratibu hakakuwepo enzi zetu ila sasa hivi 'vijana wa mujini' ndo imekuwa 'kawaida' kutambulishana shemeji wa ukweli na nyumba ndogo vilevile!
Najiuliza ina maana wanawake wanajisikia 'safe' zaidi kutambulishwa hivo kwa marafiki wa jamaa....huwa anajua ni wangapi wanatambulishwa hivyo ukiacha yeye?
Inauma zaidi pale mwanamke anapata mimba nje ya ndoa na anadanganya kuwa ya mme wake,
wiki iliyopita kuna rafiki yangu daktari alijiwa na mshikaji mmoja ili amfanyie abortion manzii mmoja ambaye alikuwa na preg ya huyo mshikaji wakati mumewe akiwa safarini na alikuwa mbioni kurudi. Huyu mwanamke ni mfano tu wapo wengi sana na wenyewe wanatambulishana ivoivo tena mwanamke anakuwa na wivu wa nyumba ndogo yake kuliko hata hom.
who told you?
labda mwanamke alokubuhu na ushakumpe ndo anaweza fanya hivi
hata hao wanaume ni waliokubuhu pia
who told you?
labda mwanamke alokubuhu na ushakumpe ndo anaweza fanya hivi
EEEH eeh mwanamke ana wivu na nyumba ndogo kuliko home nimejikuta nacheka kwa nguvu ....
Ujue kwanini inatokea ivo? kama rafiki yako wa karibu anakuwa na hakika kuwa huwezi kumegana na mme wake wa ndoa labda kutokana na mlivoshibana ila nyumba ndogo si anajua na wewe utapata tu chance ya kuwa nae so ni rahisi kumuibia, do 1 thing FL1, embu jaribu kuchekacheka na shemeji nyumba ndogo unaweza ukawa not serious ili uone manake ukiwa serious unaweza megwa kiukweli manake vidume vingine kula boga majani yake na maua sio ishu
na nyie si huwa mnadanganya ni viumbe dhaifu?
kwa nini na mie nikubali kama najua huyu ni shemeji yangu
na nyie si huwa mnadanganya ni viumbe dhaifu?
Sasa nani anadanganywa na nani mdanganyika hapo?
habu subiri 2012 kijana teh teh teh
Hehehehe unataka unikatishe tamaa? mi nimesha soma mchezo dawa kuoa mwanamke mwenye sura mbayaaaaaa kama anapuliza moto wenye moshi mzito.
Hehehehe unataka unikatishe tamaa? mi nimesha soma mchezo dawa kuoa mwanamke mwenye sura mbayaaaaaa kama anapuliza moto wenye moshi mzito.
haisaidiii hiyo wenye kazi zao hawaangalii sura
Hakuna mtu mmbaya wa sura ni mazingira tu, kama utampenda na kumpa kila kitu anachostahili mwanamke atapendeza na kuwa mrembo...house maid wangapi wanakujaga na sura kama vile wanajiandaa kupiga chafya lakini after 2 months wazuri sawa na mama mwenye nyumba??
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana
huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1