Kwanza tambua kuwa unapomtaja mwanaume..ujue unamzungumzia mtu aliyekomaa kifikra...ujue unamzungumzia mtu ambaye anajua anatakiwa kufanya nini na kwa wakati gani...unamzungumzia mtu ambaye ni kichwa cha familia au kiongozi wa familia kwa hiyo lazima awe na maono na akili iliyokomaa ili aweze kuiongoza vyema familia yake....mwanaume mwenye fikra pevu hawezi akasimama mbele ya umati na kujigamba kwa kuwahonga wanawake wa nje hali ya kuwa anajua kuwa hatima ya ustawi wa familia yake iko mikononi mwake....mwanamume mwenye utimamu wa akili hawezi akakaa sehemu za starehe na kufuja fedha hali ya kuwa familia yake inateseka kwa kukosa mahitaji muhimu......mwanaume aliye timamu hawezi kuyumbishwa na matamanio ya kimwili kwani anajua kuwa nyumbani yupo malkia wake mwenye jukumu la kumtimizia haja zake.....matendo ya kuwafunua wadada na kuwaacha huwa yanafanywa na wanaume wanaoonekana kuwa ni wanaume hali ya akili zao na maamuzi yao vinaongozwa na matamanio...hawana tofauti na wavulana wanaohangaishwa na balehe na ugeni wa mambo.....ni matukio ambayo hayana faida kwa mwanaume zaidi ya hasara kwani huyumbisha uchumi wake.....wengi wa waliokuwa na tabia hizo nikiwa na maana ya kuwekeza rasilimali zao katika kuwafunua wadada vyupi vyao na kuwaacha wanaonekana kujutia kwani mwisho wa siku hakuna faida badala yake wanahesabu hasara.....kitu ambacho baadhi ya wanaume hawakijui ni kwamba wanawake wazuri hawaishi na kamwe hawajawahi kuisha hapa ulimwenguni kwa maana ya kuwa kila siku wanazaliwa wapya na wazuri kushinda uliowaona mwanzo....na wanavutia haswa kwa kuwa wao ni mapambo ya ulimwengu.....busara ni kuoa.....na hekima ni kutulia na mkeo....
Halafu wanaume tunajua ku-pretend sio mchezo, ukishapata kitumbua tu kazi imeisha, unamfikiria mwengine
Mara nyingi wako decent?Ukimpa man reason ya kukuheshim atakuheshim sana, ukimpa reason ya kukuona wew ni wa kula na kusepa atalifanya hilo kwa ustadi.....Girls kuweni makini na karata zenu. Mtaepuka hizi ishu,maan mnaona kumzungusha man ndo kumtuliza kumbe wakati unamzungusha anapata mwingine ila ile unfinished project wengine huwa hawaziach hiv hivi..
Mara nyingi wako decent?
Nipo mzima wewe?miss u.......!!uko wapi Bana hata sikuoni
Tuna kaz sana cku hiz.. Aya kwa staili hyo nan ataolewa na bikra cku hz?? maisha yamechange sn
Hao gilrs ambao wana zungusha zungusha ? Wengi wao ni wazoefu wa hii game thats why wanajua michezo na kutaka ku out think man
Ukimpa man reason ya kukuheshim atakuheshim sana, ukimpa reason ya kukuona wew ni wa kula na kusepa atalifanya hilo kwa ustadi.....Girls kuweni makini na karata zenu. Mtaepuka hizi ishu,maan mnaona kumzungusha man ndo kumtuliza kumbe wakati unamzungusha anapata mwingine ila ile unfinished project wengine huwa hawaziach hiv hivi..
huwa wanakera, kuna mdada nilimtaka miezi mitatu ananizungusha na anasema hana mtu, eti sisi wanaume waongo!!
Umenigusa kaka, kuna shori kanisumbua sana natongoza miezi minne bado haeleweki but nikimwambia twende out anakubali na ofa zangu anapokea, sasa hapo katikati nikapata kitu kingine, ndani ya wiki moja tu nikalamba mzigo na bado tunaendelea na mahusiano fresh tu, huyu aliyenisumbua mda mrefu nilimpotezea kabisa, sahivi ndo anaanza kunisumbua ooh sijui namchukia mara ooh nimechange, sasa Duu kama huyu unamwelewaje? Madem kama hawa ndo unahit n' run, analeta swaga za kizaman za kuzungushana