Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Ila nikujiendekeza tu,acheni kutuumiza bana. Uta hit & run wangapi sasa? Halafu mwisho wa yote ni nini?

Halafu uje nikuombee kabla hujabaki skrepa wewe...tehe tehe

Nilikumiss lakini
we tatizo lako unani miss kwa nje tu....!!Lol
 
Ha ha haa!! Lakini kwakweli wakati mwingine huwa najikuta nashikwa na aibu. Unampiga sound na ahadi kibao. Ukivua chupi mara ya 1, 2,3 na 4 baasi tena hainogi. Ukipishana naye mtaani mnapeana Hi, analalamika weee, hapo unasema nilipoteza simu na wakati huo lazima ufute namba yake maana atakapobeep anataka aone kama kweli huna namba yake. Sasa wakati mwingine najikuta nalazimika kumtafuta kwa story tu na offer! Ni tabia ambayo najitahidi kuiacha lakini nashindwa!!
 
Demu ukijiheshimu utapendwa…ila ukijifanya mjanja mjanja huwa sinaga huruma tena mara mbili ni nyingi sana. Moko tu, unachapa lapa
 
inaumiza sana hahahaaaa hapa nimeliaaa weee kwasababu inauma jaman
 
Back
Top Bottom