Siku hizi imezuka tabia wanaume waliojaaliwa down there kuvaa nguo zinazochora mikia yao na kutembea barabarani. Sijajua lengo lao hasa ni nini kutembea mkia unaning'inia na kuruka ruka. Asubuhi nimekutana na mkaka hadi nikaona aibu kwa niaba yake. Kitu kimejichora jamani na hana hata wasiwasi anafanya zake mazoezi.