Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Usije ukawa umeniona mimi..! Sasa mnasaidia kujua namna ya kuepuka vilemtunzi afu mnazingua.
 
Sasa kwenye mazoezi unataka uibane ya nini sasa badala kuiacha ipumue..


Hongera kwake huyo mfanya mazoezi
 
Nashinda na boxer asubuh hadi jioni. Nikifika home naoga napiga track au pensi bila boxer naongia pub. Muhimu mashine ipate hewa kidogo aisee
 
huyo mjinga tuu alijisemea Raymond Shabani Mwakyusa kua "mjini msingi pesa sio masebene..."
 
Tukivaa boksa wakati tunafanya mazoezi zinabana misuli ya paja hivyo tunaona bora tuvae kit peke yake.
 
Umesema alikuwa anafanya mazoezi,sasa chupi au boxer ya mini au mpini hautakiwi kurukaruka kipindi cha mazoezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…