Akuuu. Bado mdogo mie mchumba
Shauri yako utalowesha chupi bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatuombagi game kwa wapita njia kama nyie
leo usiku lazima uje ndotoniDaaah. Aliumbuka maskini
Mi nakwambiaSio kirahisi hivyo jamani.
huyu kijana uliyemuona anaweza kukujia ndotoniKufanya nini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Onja at your own risk
Naona uliamua kumfanyia SHAMBULIO LA AIBU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini una nafasi?Fanya hivyo tafadhali
Furahisha tena jirani, mbele kidogo ya kituo cha daladala cha Gana kama unatokea mjini upande huo huo wa kituo kama ni barabara ya kutokea Airport kona unakatia hapo hapo!Ghana karibia na daraja la Furahisha au sehemugani?
Ni karibu na hicho kituo kipya cha mafuta?Furahisha tena jirani, mbele kidogo ya kituo cha daladala cha Gana kama unatokea mjini upande huo huo wa kituo kama ni barabara ya kutokea Airport kona unakatia hapo hapo!
yap, sio mbali sana ila kimjini mjini ni mbali kituo cha daladala cha gana kama unapajua hata ukiuliza hapo ni kama hatua kumi kutoka kituoni!Ni karibu na hicho kituo kipya cha mafuta?