Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Jana kuna kuna mpuuzi mmoja nilimwona kavaa kipajama kifupi kimeishia juu ya magoti chepesi aisee hadi raia wakawa wanamnyooshea vidole wanamshangaa nilio aibu kimtindo nikajifanya sijaona kitu, wanaume sametime chenga sana..

Huu upimbi siamini kama kanda ya ziwa au kwa wajomba zangu Rukwa upimpi kama huu unaweza kuachwa
 
Hahahahaaaa!!
Sipatii picha kitu kinaruka ruka tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Si mnasemaga vibamia, ndio wameamua kuwaonyesha kuwa wako njema.
 
Back
Top Bottom